Tuesday, April 29, 2014

Urusi yawekewa vikwazo vingine na nchi za magharibi

Marekani na Umoja wa Ulaya zimewawekea vikwazo maafisa kadhaa   na makampuni ya Urusi ili kuiadhibu nchi hiyo kwa sababu ya kuhusika  na matukio ya nchini Ukraine.

Wednesday, April 9, 2014

PATA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie.

Sasa Unaweza kusikiliza na Kudownload bure kabisa Methali za Muasisi wa Manabii TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie, zenye mafundisho ya kukujenga Kiroho na kukupa mafundisho zaodo.

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA Mh.Dr.GeorDavie.

Wednesday, April 2, 2014

UTHIBITIBISO WA MANENO KINABII ULIOTOLEWA NA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie JUU YA JIJI LA ARUSHA.

 
 Ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2013 ambapo MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie aliweza kufanya Ziara katika eneo la maduka la SHOP RITE jiji Arusha na kutoa Unabii kwa maendeleo ya jiji la Arusha na kuwatamkia maelf ya watu waliokuwa wamefika katika eneo hilo kuwa na afya njema.