Monday, March 26, 2018

NABII MKUU TANZANIA MH DK GEORDAVIE JANA AMEWATAMKIA BARAKA NA KUWAWEKEA WATU MBALIMBALI MIPAKA YA KIROHO DHIDI YA MWOVU MBAYA .

Picha ya GeorDavie Royal Mkuu 


Ni jumapili tarehe 26/03/2018 katika ibada ya jiji ya chuo kikuu cha manabii na aliweza kuelezea umuhimu wakuweka mipaka ya kiroho .

WAZIRI MKUU AHAMASISHA WATU KUJITOLEA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA RUANGWA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ahamasisha Wanachi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi kujitolea katika shughuli za maendeleo. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

CHISORA NAYE ASHINDA KWA KO RAUNDI YA PILI DHIDI YA MFARANSA


Bondia Dereck Chisora akimpiga Mfaransa, Zakaria Azzouzi katika pambano loa utangulizi kabla ya pambano la Dillian

DILLIAN WHYTE AMTWANGA BROWNE KO RAUNDI YA SITA 02 ARENA


Dillian Whyte enjoyed a dominant night at the office with a sixth-round knockout of Lucas Browne at the O2 Arena

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 26.03.2018

Thomas Tuchel
Meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund Thomas Tuchel anatarajiwa kuchukua nafasi ya meneja wa sasa wa Arsenal Arsene Wenger mwisho wa msimu. (Kicker - kwa Kijerumani)

Russia fire: Children killed in Kemerovo shopping centre blaze

Emergency vehicles outside a burning shopping centre in Kemerovo, Russia. 25 March 2018 
At least 48 people have died in a fire that tore through a shopping and entertainment complex in the Siberian coal-mining city of Kemerovo.

Wanafunzi Vyuo Vikuu Watajwa Kuongoza kwa Matusi Mitandaoni

Serikali imesema wanafunzi wa vyuo vikuu wanaongoza  kutukana na kutumia lugha zisizo na maadili kwenye mitandao ya kijamii.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 26

Friday, March 23, 2018

#advanced anointing

Picha ya Advanced Anointing Church 
Branch Leader Apostle Kathryn interviewed our founder Prophet GeorDavie about his history! The story of his childhood,

KIPINDI CHA JUKWAA LA WATUMISHI LINAENDELEA KUPITIA N.Y.U REDIO 99.3

GeorDavie TV is Back on Air in full HD Mpeg4

Picha ya GeorDavie TV 

picha hizo hapo chini ni mambo mbalimbali yanayoendelea kuonyeshwa kwenye GEORDAVIE TV ambapo NABII MKUU TANZANIA MH DKT GEORDAVIE NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO 
         CHINI YA HIZO PICHA NI SETTING ZENYEWE

Makonda Awaita Ofisini Kwake Wanawake Waliotelekezwa Na Waume Zao


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  amewataka wanawake wote waliotelekezwa na waume zao na hawapatiwi fedha za matunzo ya mtoto wafike ofisini  Jumatatu ya  Aprili 9 kwa lengo la  kupatiwa msaada wa kisheria.

Bara la Afrika Kugawanyika Mara Mbili


Wanajiolojia wameeleza kwamba Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika, zitameguka na kuwa visiwa.

Trump replaces National Security Adviser HR McMaster with John Bolton

John Bolton. Photo: February 2017 

President Donald Trump is replacing US National Security Adviser HR McMaster with Bush-era defence hawk and former United Nations ambassador John Bolton.

TIRA yazifutia leseni kampuni nne za udalali na ushauri

Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA) imefuta leseni za kampuni za udalali na ushauri wa Bima kutokana na kukiuka taratibu za uendeshaji wa biashara za bima.

Zlatan Ibrahimovic set to join LA Galaxy after leaving Manchester United

Zlatan Ibrahimovic



Zlatan Ibrahimovic is set to join Major League Soccer club LA Galaxy after leaving Manchester United.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 23

Thursday, March 22, 2018

Rais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Waziri Wa Ulinzi Wa Israel Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 22 Machi, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israel Mhe. Avigdor Lieberman Ikulu Jijini Dar es Salaam.

NABII WILLIAM:WATU WENGI WANAISHI MAISHA AMBAYO SIO YAO YASIYO MPENDEZA MUNGU KUWA WEWE.

PICHAN JUU NI NABII WILLIAM JAMES WA TAWI LA NGURUMO YA UPAKO DAR CITY CENTRE

LEO NI IBADA MAALUMU YA KUOMBE FAMILIA NDANI YA NGURUMO YA UPAKO[ADVANCED ANNOINTING]



Image result for gaudencia luila



 PICHANI JUU NI KADINALI WA KWANZA WA NGURUMO YA UPAKO MTUME                    
                                          GAUDENCIA LUILA

Leo alhamisi ya tarehe 22/03/2018 katika chuo kikuu cha  manabii ngurumo ya upako kutakuwa na ibada ya chuo cha manabii ambayo  ni maalumu kwaajili ya familia.

Mmiliki wa facebook aomba radhi kwa kashfa ya Analytica

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg


Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica,ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa. Analytica inatuhumiwa kuingilia data za watumiaji million 50 wa mtandao wa Facebook.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi yya Marchh 22

Updates: Mbowe, Mwalimu Wameachiwa Kwa Dhamana......, Heche na Mnyika washikiliwa, Mdee na Matiko wanasakwa..


Viongozi watatu  wa Chadema walioripoti Kituo Kikuu cha Polisi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wameachiwa kwa dhamana huku wawili wakitakiwa kubaki.

Wednesday, March 21, 2018

GeorDavie TV is Back on Air in full HD Mpeg4

Picha ya GeorDavie TV
soma hapa namna ya kuipata  geordavie tv katika king'amuzi chako.

BREAKING NEWS:LORI LAUA WATU SABA KIGOMA….

Watu saba wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya Scania katika  Mlima wa Kasagamba kijiji cha Mkongoro barabara ya kutoka Manyovu wilaya ya Kigoma Vijijini kuelekea mkoani Kigoma.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma Maltini Otieno amesema ajali hiyo imetokea leo Machi 21,2018 majira ya saa tatu asubuhi.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.

Polisi Dodoma imewakamata watu wawili kwa kusambaza taarifa za maandamano ya April 26 2018.


Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limewakamata na kuwashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii yanayotarajiwa kufanyika April 26 mwaka huu.

Necta yafanya mabadiliko mtihani darasa la saba


Wanafunzi wa darasa la saba ambao watafanya mtihani mwaka huu watakutana na mabadiliko ya mfumo wa utungaji  wa mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi .

Kilichoendelea LEO baada ya IGP, AG na DCI kuitwa Mahakamani Kesi ya Nondo


Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Aprili 4, 2018 kusikiliza maombi ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSGN), Abdul Nondo.

Waziri Mkuu Amuwaklisha Raisi John Magufuli Katika Mkutano Wa AU Rwanda


Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amemwakilisha Rais John Magufuli katika sherehe za kusaini mkataba wa kulifanya Bara la Afrika kuwa eneo huru la biashara jijini Kigali, Rwanda.

Polisi yamshikilia dereva tukio la mhasibu ubalozi Syria kujeruhiwa


Polisi Mkoa wa Kinondoni wanamshikilia mfanyakazi wa ubalozi wa Syria  nchini kwa tuhuma za kumjeruhi usoni mhasibu wa ubalozi huo,  Hassan Alfaouri na kumpora Euro 93,000 (Sh237milioni).

ATUMIA MIEZI SABA KUSAFIRI KWA PIKIPIKI KUTOKA OMAN HADI TANZANIA, ATEMBELEA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MJINI DODOMA


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo, alipotembelea ofisi za Wizara hiyo mjini Dodoma. 

MOJA YA POSTI YA NABII MKUU TANZANI MH DK GEORDAVIE YA WIKI HII.


Apostle Kathryn Krick did an amazing teaching ministry yesterday!in 18/03/2018 "May the new level anointing increase upon you!"

Monday, March 12, 2018

Urusi yafanya jaribio la Kombola lisilozuilika.

Urusi imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la kombora lisiloweza kuzuilika ambalo ni miongoni mwa makombora yaliyotangazwa na Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin katika kampeni zake.

Wizara wa ulinzi ya Urusi imeonyesha video ambayo ilikuwa ikionyesha kombora

Pierre Nkurunzinza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha chama tawala cha CNDD/FDD Burundi

Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kama kiongozi mkuu wa kudumu au kiongozi wa milele ndani ya chama hicho.
Uamzi huo umefikiwa baada ya vikao vya siku tatu vya mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika katika eneo la Buye anakozaliwa Bwana Nkurunziza Kaskazini mwa nchi hiyo.
Uamuzi huo pia unachukuliwa wakati Burundi inajiandaa kufanya marekebisho ya katiba ili kumruhusu Rais Nkurunzinza kuendelelea kuongoza taifa hilo hadi mwaka 2034.
Taaarifa fupi ya chama cha CNDD/FDD imesema vikao hivyo vilinuwia kuimarisha chama tawala na taasisi zake.

 


Lakini pia chama hicho tawala kimechukua uamuzi wa kumuongezea hadhi na

Sunday, March 11, 2018

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 12

SeeBait

Serikali yaiunda upya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema Serikali imefanyia mabadiliko Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuanzisha Ofisi nyingine mbili mpya kwa lengo la kuongeza Tija na Ufanisi katika utendaji kazi.

Prof Kabudi alikuwa akizungumza na watendaji wa Wizara na Taasisi zinazounda sekta ya Sheria nchini makao makuu ya Wizara mjini Dodoma ambao

Wednesday, March 7, 2018

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini


“Kwa masikitiko nimepokea taarifa ya kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma Dkt. Walid Amani Kaburu kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 07 Machi, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Majambazi wamvamia na kujaribu kumkata miguu mwanariadha wa Afrika Kusini kwa msumeno

Mhlengi Gwala

Mwanariadha nchini Afrika Kusini nusura akatwe miguu kabisa aliposhambuliwa na kundi la wanaume alipokuwa anafanya mazoezi Jumanne alfajiri.

Forbes: Trump ashuka orodha ya matajiri duniani 2018

Donald Trump 
Rais wa Marekani Donald Trump ameshuka nafasi 222 katika orodha ya kila mwaka ya watu tajiri zaidi duniani ambayo hutolewa na jarida la Forbes.

Mafuta yapanda bei.....Hizi ni bei elekezi zitakazoanza kutumika Machi 7, 2018


Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za mafuta kwa mwezi huu huku petroli na dizeli zikiongezeka .

SIKILIZA N.Y.U REDIO 99.3 KILA SIKU MASAA 24 SIKU SABA ZA WIKI.


KUTUPATA KUPITIA INTERNET BOFYA LINKI HIYO HAPO CHINI

Watumishi wa umma walioondolewa kazini kimakosa kurejeshwa


Taarifa ya serikali kwa watumishi walioondolewa kazini kwa kukosa vyeti vya kidato cha nne

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 7


LHRC wafafanua hoja za NEC dhidi ya tamko la asasi za Kiraia


TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA HOJA ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) DHIDI YA TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA


Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea barua Kumb. Na. BA.71/75/01/124 ya tarehe 22 February 2018 kutoka kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani na kupitia kwa umakini mkubwa hoja za Tume Ya Uchaguzi dhidi ya tamko lililotolewa na umoja wa Asasi Za Kiraia, chini ya Jukwaa la Wakurugenzi wa AZAKI, Februari 21, 2018 kuzungumzia hali ya usalama wa raia, haki za binadamu na utawala wa sheria hapa nchini.