Friday, April 27, 2018

West Ham United kuwakabili Manchester city-Epl

West Ham United

Ligi kuu ya soka ya England inaendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaa,kesho jumamosi michezo saba inatarajiwa kuchezwa ambapo Liverpool wanacheza na Stoke city,Burnley dhidi ya Brighton,Crystal Palace ni mwenyeji wa Leceister City.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo IIjumaa ya April 27

Kiongozi wa Korea Kaskazini avuka mpaka na kuingia Korea Kusini

Rais w a Korea kaskazini Kim jong un na mwenzake wa Kusini Moon Jae-in 

Kim Jong-un amekuwa kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini kuingia Korea Kusini kwa kuvuka mstari wa kijeshi uliowekwa kugawanya mataifa hayo mawili tangu vita vya Korea 1953.
Katika hatua ilioshangiliwa kwa mbwembwe za kila aina kiongozi wa Korea Kusini na mwenzake wa Korea Kaskazini walisalimiana kwa mikono katika mpaka huo.

Thursday, April 26, 2018

Watu 9 wakamatwa wakiandamana Posta, Dar es Salaam


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa watu 9 waliokuwa wakiandamana eneo la Samora Avenue, Posta.

REAL MADRID YAITUNGUA BAYERN MUNICH, RONALDO AKIANDIKA REKODI MPYA


Mchezo wa nusu fainali ya pili UEFA Champions Leag, mkondo wa kwabza kati ya Bayern Munichen dhidi ya Real Madrid, ulipigwa usiku wa kuamkia leo huko Allianzi Arena huku Madrid wakiibuka wababe katika mchezo huo.

Mambosasa afunguka sakata la Katibu wa BAWACHA Aliyekamatwa na mtoto mchanga


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Jijini Dar es salaam, Lazaro Mambosasa, ametolea ufafanuzi suala ambalo limeanza kushika hatamu mitandaoni la kukamatwa kwa Katibu wa Baraza la Wanawake CHADEMA kata ya Kisutu Elizabeth Mambosho na kupelekwa rumande akiwa na mtoto mchanga.

Manyara Nako Hali ni Shwari...Hakuna Maandamano


Hali ni shwari mkoani Manyara. Hakuna dalili za maandamano. Hata hivyo askari polisi wakiwa na magari, pikipiki na kutembelea kwa miguu walionekana wakizunguka sehemu mbalimbali ili kuimarisha ulinzi.

Tuesday, April 24, 2018

Tetesi za soka Jumanne 24.4.18

John Stones ameshinda mataji 24 ya England 

Manchester City wako tayari kumuuza mlinzi wa England John

Watu 10 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo Canada

Gari lililoua watu huko Canada 
Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Wengine 16 wamejeruhiwa pia.
Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali wa kilomita moja hivi.

Rais Magufuli Ampongeza Mizengo Pinda.....Ataka Viongozi Wengine Wastaafu Waige Mfano Wake


Rais John Magufuli jana alimmwagia sifa Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwa kumwelezea ni kiongozi mkimya na asiyependa kuzungumza ovyo ovyo.

Treni ya Kisasa Kuanza Novemba Mwakani


Serikali imesema treni inayotumia umeme inatarajiwa kuanza kutoa huduma Novemba mwakani kwa usafiri wa reli ya kati, kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 24

Tuesday, April 10, 2018

Mkuu wa zamani wa majeshi aunda vugu vugu jipya la waasi.

Wapiganaji Sudan Kusini, na silaha hatari 


Aliyekuwa Mkuu Majeshi Sudan Kusini ameunda vugu vugu jipya la kundi la waasi.
Paul Malong ambaye alitimuliwa katika wadhifa wake na Rais Salva Kiir mwaka, amechukua hatua hiyo wakati nchi yake ikianza

Mamia Ya Wanawake Waliotelekezwa Na Waume Zao Wafurika Kwa Makonda........Majina ya wanaume waliotelekeza watoto kuanikwa hadharani

Mkuu wa mkoa wa Dar es salam Paul Makonda jana April 9 amezungumza na akina mama waliotelekezwa na waume zao jijini Dar es Salaam ambapo mamia ya wanawake hao wamejitokeza wakiwa na watoto zao.

Marekani yaapa kuichukulia hatua Syria

 Rais Donald Trump amesema Marekani inapanga kutoa jibu la nguvu kuhusiana na shambulio la kemikali katika mji wa Douma nchini Syria.

Mvua Dar es salaam : Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi zasombwa na maji

Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi,Mtaa Majengo Eneo la Vingunguti jijini Dsm zimesombwa na Maji na huku nyingine zaidi ya 100 ziko hatarini kuanguka kutokana na Mmomonyoko wa Udongo unatokana na kupanuka kwa Mto Msimbazi na kuingia katika makazi ya watu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 10

Monday, April 9, 2018

Chelsea 'wanaelekea kucheza Europa League' baada ya sare na West Ham

Mlinzi wa timu ya Chelsea Cesar Azpilicuet 



Kushinda kombe la FA hakutatosha "kunusuru" msimu wa klabu ya Chelsea, kwa mujibu wa beki wa klabu hiyo Cesar Azpilicueta.

Mzozo Syria: Israel yashutumiwa kutekeleza shambulio dhidi ya uwanja wa ndege

Wanajeshi wanaounga mkono serikali ya Syria, yanakaendelea na vita katika juhudi za kuwafurusha waasi kutoka mji wa Douma
Serikali ya Syria na mshirika wake Urusi zimeishutumu Israel kwa shambulio baya katika uwanja wa ndege za kijeshi za Syria.

Serikali Yakiri Magereza Kuzidiwa na Idadii ya Wafungwa


Tanzania inakadiriwa kuwa na wafungwa 40,000 wakati uwezo wa magereza yake ni 30,000 hivyo kuna ongezeko la zaidi ya wafungwa 10,000 katika msongamano huo.

Ajali City Boy: Mmiliki wa Fuso adakwa na Polisi, dereva anatafutwa


MMILIKI wa lori Mitsubishi Fuso lililogongana na basi la City Boys katikati ya wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 12 hapa wilayani Igunga mkoani Tabora, amekamatwa na polisi mkoani Ruvuma.

CCM Mwanza yatangaza maandamano Aprili 26


Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, wanakusudia kufanya maandamano ya amani Aprili 26, mwaka huu, kuunga mkono na kupongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt John Pombe Magufuli

OmbaOmba Kutupwa Gerezani



Mamlaka katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali imetangaza kuanza msako mkali na kuwaweka gerezani walemavu wote wanaojihusisha na vitendo vya kuomba omba barabarani, kwa madai kuwa ni chanzo cha uchafu wa jiji hilo.

Uwanja wa ndege za kivita wa Syria washambuliwa kwa makombora


Vyombo vya habari nchini Syria zimeripoti vifo vya watu kadha katika uwanja mmoja wa Ndege wa kijeshi nchini humo baada ya shambulio la kutumia Makombora.

Godbless Lema Amshangaa RC Gambo Kumuita Rafiki


Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema hajasita kuweka wazi hisia zake baada ya kutambulishwa na RC Gambo katika Ibada ya kusimikwa Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 9

Thursday, April 5, 2018

CHINA NA URUSI ZAUNGANA KUIKABILI MAREKANI.

UONGOZI wa Jeshi la China umeahidi kuisaidia na kuiunga mkono Urusi kijeshi kukabiliana na mataifa ya Magharibi dhidi ya mzozo wa kidiplomasia, vikwazo vya kiuchumi na mazoezi ya kijeshi.

Ahadi hiyo imetolewa Waziri wa Ulinzi wa China, Wei Feng ambaye yuko Urusi

Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pohn Magufuli

Habari Zilizopo katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya April 6.

SeeBait

BARCELONA YASHINDA MESSI AKISHINDWA KUONA NYAVU


Luis Suarez amefunga goli lake la kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupita karibu mwaka mmoja wakati Barcelona ikiifunga Roma magoli 4-0 katika mchezo wao wa kwanza wa robo fainali.

LIVERPOOL YAIDUWAZA MANCHESTER CITY KATIKA DIMBA LA ANFIELD


Liverpool imejiweka vyema katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupata matokeo mazuri kwa robo fainali kwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Manchester City yaliyopatikana ndani ya dakika 31 za kwanza katika dimba la Anfield.

Vipimo vya Nabii Tito vyatua mahakamani....Hakimu Kutoa Maamuzi April 13

Mahakama ya Wilaya ya Dodoma leo Aprili 5, 2018  imepokea taarifa ya vipimo vya kitabibu vya Tito Machibya (Nabii Tito) ili kujua kama ana matatizo ya akili au la.

BREAKING: Majambazi Yavamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia Mbezi na Kupora Sadaka

Majambazi wamevamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu-Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam na kupora fedha na baadhi ya vifaa vya kuendeshea misa usiku wa kuamkia leo.

Updates: Waliofariki Ajali ya Basi la City Boy ni Watu 12

Watu 12 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajari ya basi la kampuni ya City bus lililogana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha makomelo wilayani Nzega mkoani TABORA.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 5


Wednesday, April 4, 2018

RONALDO AFUNGA BAO BORA LA MUDA WOTE LIGI YA MABINGWA...REAL YAIPIGA 3-0 JUVE TURIN


 Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak kuwafungia Los Blancos bao la pili dakika ya 64

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.04.2018

Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri
Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu lakini kama itashindikana mazungumzo na meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique. (Star)

KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA MEI 2018 WANAFUNZI 1003 KIDATO CHA SITA SIMIYU WAPIGA KAMBI YA KITAALUMA



Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na wanafunz wa Kidato cha Sita kutoka shule 11 za Mkoa huo wakati wa ufunguzi wa Kambi ya Kitaaluma kwa wanafunzi hao Aprili 03 wilayani Maswa.

Repoa yatoa tahadhari kuhusu uchumi wa nchi


Taasisi ya Utafiti Repoa imetoa tahadhari ikisema licha ya juhudi zinazoendelea katika mageuzi ya kiuchumi, Serikali inapaswa kushughulikia vikwazo vilivyopo ili kukabiliana na ushindani wa masoko nje ya nchi.

Rais Magufuli Kuzindua Ukuta Katika Migodi ya Tanzanite


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Ijumaa hii Aprili 06, 2018 kwenye uzinduzi wa ukuta kwenye migodi ya Mirerani mkoani Arusha.

Spika Ndugai amerejea kutoka kwenye matibabu


Spika wa Bunge, Job Ndugai amerejea jana Aprili 3, 2018 akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu miezi miwili.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 4