Thursday, November 30, 2017

Marekani yataka mataifa yote kukatiza uhusiano na Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un na mwenzake wa Marekani Donald Trump
Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na ule wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu.

KOCHA PEP GUARDIOLA AMWAGIA SIFA RAHEEM STERLING

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema kujiamini kwa Raheem Sterling kumemfanya awe na kiwango bora baada ya kufunga goli la ushindi dhidi ya Southampton katika dakika ya 96.

TIMU YA ARSENAL YACHARUKA YAMPIGA MTU MKONO


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amempongeza mpambanaji Mesut Ozil baada ya raia huyo wa Ujerumani kuchangia ushindi mnono wa klabu hiyo wa magoli 5-0 dhidi ya Huddersfield.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Novemba 30

Wednesday, November 29, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa apokea vifaa vyya mshindano ya majimbo vyenye thamani ya Tsh 50 milioni.

Waziri Mkuu Abaini Semi Trela 44 Zikitaka Kutolewa Bandarini Bila Yakufuata Utaratibu....Amtaka IGP Sirro Awakamate Wahusika

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro kuwakamata, Bw. Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark Bw. Samwel kwa kutaka kutoa bandarini magari makubwa aina ya semi tela 44 bila ya kulipa kodi kwa kutumia jina la Waziri Mkuu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Novemba 29

Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani

Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kudumu angani kwa dakika 53 kabla ya kutua katika bahari ya Japani.

TANESCO Wataja Chanzo cha Kukatika kwa Umeme Dar, Pwani

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa kwa wateja katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuwa baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na hitilafu iliyojitokeza.

Tundu Lissu Asimulia Alivyonusurika Kupigwa Risasi ya Fuvu la Kichwa

Kwa mara ya kwanza, Tundu Lissu amezungumzia shambulio la kinyama alilofanyiwa na watu wasiojulikana kwa kueleza kuwa, alinusurika kufumuliwa fuvu la kichwa kwa risasi.

IGP Sirro Asema mtandao Wa Kiuhalifu Kibiti Umesambaratishwa Kwa Kiasi Kikubwa....Ataka Watoto 13000 Wapatikane Haraka

MKUU wa jeshi la polisi nchini (IGP)Simon Sirro amewahakikishia wananchi mkoani Pwani kuwa silaha zote zilizochukuliwa na wahalifu wa ovyo ovyo huko Kibiti na Mkuranga zimerudi zote mkononi mwa dola na kusambaratisha mtandao wa kiuhalifu .

Tuesday, November 28, 2017

Wavulana 2 wasafiri kilomita 80 chini ya basi China


Wawili hao ambao hawajatajwa na serikali wanatoka katika kijiji kimoja maskini Kusini mwa Guangxi na walikuwa wakijaribu kwenda kwa wazazi wao 
Picha za wavulana wawili wa Kichina ambao walisafiri na basi moja kwa umbali wa kilomita 80 wakiwa chini ya gari hilo zilizua hisia kali kuhusu hali ya watoto wa taifa hilo waliowachwa nyuma.
Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita.

Mabasi ya Mwendokasi Dar Yageuka shule kwa nchi za Afrika.....Dart Yapanga kuongeza mabasi Mengine 165

Tangu kuanza rasmi Mei 10, 2016 kwa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, zaidi ya nchi tano za Afrika zimetuma viongozi wake kujifunza namna ya uendeshaji wake.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Novemba 28

IGP Sirro Atembelea Bandarini Kufanya Ukaguzi wa Magari ya Polisi Yaliyoibuliwa na Rais Magufuli

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amefanya ziara katika bandari ya Dar es salaam, ili kufanya ukaguzi wa magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Mhe. John Pombe Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi hilo ili kurahisisha utendaji kazi

Monday, November 20, 2017

Mugabe akataa kuachia madaraka Zimbabwe licha ya shinikizo

Mugabe
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameapa kuendelea kuongoza taifa hilo kwa wiki kadha, licha ya shinikizo kutolewa kumtaka aachie madaraka.


Akihutubu moja kwa moja kupitia runinga ya taifa, Bw Mugabe amesema anapanga kuongoza mkutano mkuu wa chama mwezi Desemba.
Maafisa wakuu wa chama hicho cha Zanu-PF walikuwa wameidhinisha hatua ya kumvua uongozi wa chama hicho na kumpatia saa 24 ajiuzulu la sivyo wamuondoe madarakani.
Jeshi lilichukua udhibiti wa serikali wiki iliyopita, huku mzozo kuhusu nani atamrithi ukizidi kutokota. Bw Mugabe ameonekana kupoteza udhibiti wa chama chake.
Mzozo wa sasa ulianza Bw Mugabe alipomfuta kazi makamu wake Emmerson Mnangagwa wiki mbili zilizopita, hatua iliyolikera jeshi ambalo lilitazama hatua hiyo kama jaribio la kumteua mke wake Grace kuwa makamu wa rais na mwisho kuwa mrithi wake.




Haki miliki ya pichaKatika mkutano huo pia, Grace Mugabe, 52, alifukuzwa kutoka kwa chama hicho pamoja na maafisa wengine wakuu"Mkutano mkuu wa chama (cha Zanu-PF) utafanyika wiki chache zijazo na nitauongoza na kusimamia shughuli zake," Rais Mugabe ameliambia taifa kupitia runinga, akiwa ameandamana na majenerali kadha wakuu jeshini.
Amekiri uokosoaji dhidi yake kutoka kwa Zanu-PF, jeshi na umma, na kusisitiza kwamba ipo haja ya hali ya kawaida kurejea.
"Bila kujali faida au madhara ya jinsi (jeshi) walitekeleza operesheni yao, mimi, kama amiri jeshi mkuu, nakiri kwamba kuna matatizo," amesema, akirejelea hatua ya jeshi ya kuchukua udhibiti wa runinga ya taifa wiki iliyopita.
Hata hivyo, hakuzungumzia uwezekano wake kujiuzulu.
Raia wengi nchini Zimbabwe wameonekana kushangazwa na hotuba ya Bw Mugabe ambaye alitarajiwa na baadhi yao kujiuzulu.




Mugabe alikutana na wakuu wa jeshi ambao wamechukua udhibiti wa serikali mapema leoHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionMugabe alikutana na wakuu wa jeshi ambao wamechukua udhibiti wa serikali mapema leo

Kiongozi wa chama chenye ushawishi cha maveterani wa vita vya ukombozi wa Zimbabwe Chris Mutsvangwa, ameambia shirika la habari la AFP kwamba sasa Robert Mugabe huenda akaondolewa madarakani baada yake kukosa kujiuzulu leo.
Amesema hotuba ya kiongozi huyo haijazingatia uhalisia.
"Tutafuata njia ya kumuondoa madarakani na tunawataka watu warejee tena barabarani kuandamana."
Maveterani walikuwa wakati mmoja wafuasi sufu wa Bw Mugabe.
Waliongoza uvamizi wa mashamba yaliyomilikiwa na Wazungu mwaka 2000 na wametuhumiwa kwa kutumia ghasia na fujo uchaguzini kumsaidia Mugabe kusalia madarakani.
Lakini mwaka jana, waliacha kumuunga mkono.
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai ambaye wakati mmoja alihudumu kama waziri mkuu katika serikali ya umoja wa taifa na Rais Robert Mugabe ameambia shirika la habari la Reuters kwamba ameshangazwa sana na hotuba ya Mugabe.
Sawa na baadhi ya raia wengine Zimbabwe, kiongoz

Mahakama Kuu Kenya Yatupilia Mbali Kesibza Kupinga Ushindi wa UhurubKenyatta

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi zilizofunguliwa na wafuasi wa NASA za kupinga ushindi wa Urais wa Uhuru Kenyatta, kwenye uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26, 2017

Nyalandu akabidhiwa kadi ya Chadema

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho, Lazaro Nyalandu.

Monday, November 13, 2017

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO Jumanne,Nov14,2017.


Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 348

A damaged storefront is seen after an earthquake in Halabja, Iraq



Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 200

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini apigwa risasi akitorokea Korea Kusini

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini avuka na kuingia Korea Kusini


Haki miliki ya pichaAFP
Image captionMwanajeshi wa Korea Kaskazini avuka na kuingia Korea Kusini

Somaliland yapiga kura katika uchaguzi wa urais

Raia wa Somaliland wakipiga kura


Image captionRaia wa Somaliland wakipiga kura

Trump asema ana ''uhusiano mzuri'' na Durtete

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana uhusiano mzuri na kiongozi wa Phillipino Rodrigo Durtete bada ya mkutano kati ya viongozi hao.


Image captionRais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana uhusiano mzuri na kiongozi wa Phillipino Rodrigo Durtete bada ya mkutano kati ya viongozi hao.

Mahakama yamhukumu 'Lulu' miaka 2 jela kwa kifo cha Kanumba

Muigizaji Elizabeth Michale, maarufu kama 'Lulu


Image captionMuigizaji Elizabeth Michale, maarufu kama 'Lulu

Wednesday, November 8, 2017

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI, Alhamis,Nov09,2017


DONALD TRUMP: USITUDHARAU, USITUJARIBU.

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un katika hotuba ndani ya bunge la Korea Kusini.
''Usitudharau, Usitujaribu," alisema, huku akishutumu hali ilivyo nchini Korea Kaskazini.
US President Donald Trump speaks at the National Assembly on 8 November 2017 in Seoul, South Korea
Bwana Trump alimzungumzia moja kwa moja rais Kim akisema kuwa ''silaha

NAIBU WAZIRI WA MUNGANO NA MAZINGIRA, AMEWATAKA WANANCHI KUTOITAFSIRI VIBAYA.

Naibu waziri wa Mungano na Mazingira Kangi Lugola, amewataka wananchi kutoitafsiri vibaya kauli ya Rais kuhusu kufanya shughuli za kilimo kwenye vyanzo vya maji, na kusema kwamba hakuna sheria inayoruhusu watu kufanya shughuli za kilimo.
Waziri Lugola ameyasema hayo leo alipokuwa akijibu swali Bungeni kuhusu kauli hiyo ya Rais ambayo imeonekana kuruhusu watu kufanya uharibifu kwenye vyanzo vya maji na mazingira, na kusema kwamba

“Niwahakikishie kauli ya Rais isije ikapotoshwa wananchi wakaenda kuvamia maeneo ya mito na kuanza kulima, na kauli aliyoitoa Mheshimiwa Rais,

Tuesday, November 7, 2017

SERIKALI YATOA HEKTA 271,882.86 KWA AJILI YA SHUGHULI ZA VIJANA.

Serikali kupitia Halmashauri za Wilaya katika mwaka 2016 imetoa jumla ya  Hekta 271,882.86 za ardhi kwa vijana nchi nzima ili kufanya shughuli za uzalishaji mali na kujipatia ajira.
Hayo yameelezwa jana, Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO, Jumatano,Nov08,2017


RAIS MAGUFULI AAMURU WATU WATATU WACHUNGUZWE KWA KUTAKA KUIIBIA SERIKALI MABILIONI

Rais  Dk. John Magufuli, ameamuru kukamatwa kwa watumishi watatu wa serikali, kwa tuhuma za kuandika madai yasiyo halali, kwa lengo la kuiibia serikali.

Rais Magufuli ametoa amri hiyo wakati akizindua Uwanja wa Ndege wa Bukoba wenye urefu wa kilomita 1.5 ambapo amewataja watumishi hao kuwa ni Jackson Kaswahili Robert, Mwachano Msingwa na Gidioni Zakayo.
Alifafanua kwamba, Jackson alijaza fomu zinazoonesha kwamba anaidai serikali

Monday, November 6, 2017