Monday, March 30, 2015

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 29/MARCH/2015

Maelfu ya watu waliokusanyika katika chuo kikuu cha Manabii Kisongo katika ibada ya jiji wamepokea Baraka mbalimbali za kinabii na kufunguliwa katika vifungo mbalimbali.

Thursday, March 26, 2015

IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 26/MARCH/2015

Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr.Geordavie ametangaza siku 14 za kufanyika kwa mambo makubwa maishani kwawalewote wanaomuamini nabii kuanza mwao

Wednesday, March 25, 2015

WATU WAWILI MBARONI KWA KOSA LA KUKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO

Ikiwa ni siku chache tangu Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie kupiga marufuku  vitendo vya mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) hatimae watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya

Monday, March 23, 2015

Friday, March 13, 2015

AJALI MBAYA YA BASI LA ABIRIA NA LORI LA MIZIGO JIJI ARUSHA

Tukiendelea kukumbuka tamko la Unabii kutoka kwa Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie kuhusu majanga mbalimbali nchini,takribani watu watano wamejeruhiwa ,

Friday, March 6, 2015

MWAKA 2015 WAANZA KUNG’ATA WAGANGA WA KIENYEJI KAGERA.



Ikiwa ni baada ya tamko la Kinabii juu ya mwaka 2015 kuwa ni mwaka wenye meno na unang’ata kwa waganga wa kienyeji,washirikina na wachawi.Hatimaye

Thursday, March 5, 2015

IDADI YA WALIO KUFA NA MAFURIKO SHINYANGA YAONGEZEKA NA KUFIKIA 42.





Idadi ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa na mafuriko wilayani Kahama, mkoani Shinyanga sasa imefikia 42. Watu wengine 98 wamejeruhiwa, nyumba 160 zimebomolewa na jumla ya watu 570 wameathirika na mafuriko hayo. Kwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga, amesema