Vilio na simanzi
vimetawala katika ofisi za makao makuu ya kampuni ya Azam TV hii leo
ambapo wafanyakazi watano wa kampuni hiyo wanaagwa baada ya kufariki
kwenye ajali ya barabarani.
Ajali iliyogharimu maisha ya wafanyakazi hao ilitokea Shelui mkoani Singida asubuhi ya Jumatatu Juni 8.Friday, July 26, 2019
Thursday, July 25, 2019
Wednesday, July 24, 2019
Monday, July 22, 2019
Filamu ya ‘The Lion King’ imeingia kwenye rekodi hii ya mauzoSHARE
Leo July 22,2019 filamu ya The Lion King imechukua headlines baada ya kutajwa kuwa mpaka sasa imefanikiwa kuingiza kiasi cha zaidi ya shilingi Trilioni 1 za Kitanzania duniani kote tokea iachiwe rasmi July 19,2019.
Sunday, July 21, 2019
Monday, July 15, 2019
Tuesday, July 9, 2019
Ambassador 'has PM's full support' despite Trump criticism
Downing Street has
reaffirmed its "full support" for the UK's ambassador to the US after
Donald Trump said he will no longer work with him.
Bunge la Tanzania kuwa mwenyeji wa vikao vya Kamati ya Uongozi na ya Bajeti za Chama cha Wabunge wa Nchi za Jumuiya ya Madola–Kanda ya Afrika
Upandaji holela wa miti katika njia za umeme Kahama watajwa kusababisha nishati ya umeme kukatika.
Friday, July 5, 2019
Wednesday, July 3, 2019
HOSPITALI YA HAYDOM YANUNUA X RAY MPYA YA KISASA
HOSPITALI
ya rufaa ya Haydom Wilayani Mbulu, Mkoani Manyara imenunua mashine mpya
ya kisasa ya uchunguzi (X-ray) kwa lengo la kuhudumia wagonjwa wengi,
kuongeza ufanisi na kutoa huduma kwa urahisi zaidi.
WIZARA YA VIWANDA YAJIPANGA KUKUZA MASOKO NDANI NA NJE YA NCHI
MAONESHO
ya 43 ya biashara maarufu kama sabasaba yenye kauli mbiu ya usindikaji
wa mazao ya kilimo kwa maendeleo ya viwanda yamezinduliwa rasmi leo
jijini Dar es Salaam huku masuala ya utafutaji wa masoko pamoja na
kuelimimisha wafanyabiashara kuhusiana na kliniki ya biashara yakitiliwa
mkazo.
NUNDU APIGA HESABU ZA UBUNGE JIMBO LA TANGA 2020
ALIYEKUWA
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano katika serikali ya awamu ya nne
Mhandisi Omari Nundu ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Tanga
mwaka 2020 mara baada ya kipenga kutangazwa rasmi.
Mawaziri Bara, Zanzibar Wasaini Makubaliano ya Ushirikiano

Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na
Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit
Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid
Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na
kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo ili kuongeza
tija.
Hizi hapa Timu 16 zilizotinga hatua ya 16 bora AFCON 2019 Pamoja na Ratiba
Baada
ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoeza mechi zake zote
kwenye kundi C michuano ya Afcon zilizotinga hatua ya 18 hizi hapa na
ratiba yake ipo namna hii:-
IGP Sirro Aongoza Kikao Cha Utendaji Cha Maofisa Wakuu Wa Jeshi La Polisi
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (katikati), akiongoza Kikao cha
Utendaji cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es
salaam, kujadili utendaji wa kazi za Polisi, kufanya tathmini,
Mafanikio, Changamoto na kuweka mikakati ya kutekeleza kazi za Polisi
hususan kulinda maisha ya raia na mali zao.
Subscribe to:
Posts (Atom)