Friday, March 28, 2014

UTHIBITISHO WA MANENO YA KINABII KUTOKA KWA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr. GeorDavie.

     
Mara kwa mara Muasisi wa Manabii Tanzania Mh.Dr. GeorDavie amekuwa akitamka maneno ya Kinabii kwa Watu, Taifa na Dunia kwa ujua na kwa asilimia mia(100%) unabii huo umekuwa ukitimia na kushuhudiwa na watu mbalimbali.

     Mapema tarehe 13 February 2014 Muasisi wa Manabii Tanzania Mh.Dr. GeorDavie aliweza kutoa Unabii wa mwezi kupitia kipindi cha MADHABAU YA KINABII kinachorushwa na N.Y.U fm Radio amapo aliweza kutoa unabii juu ya kukamatwa kwa majambazi ndani ya Jiji la Arusha,Kutokea kwa moto wa Ghafla,na pia kutakuwepo na habari mbili kubwa zitakazo rushwa katika vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa ikiwemo CNN na BBC na yote hayo yalithibitika.

UNABII ULIOTOLEWA NA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr. GeorDavie SIKU YA TAREHE 13 FEBRUARY 2014.


     Mara baada ya Nabii mkuu wa Karne ya 21 kutoka Tanzania Mh.Dr. GeorDavie kutamka kuona majambazi watatu wanakamatwa na kweli maeneo ya stand ndogo Arusha majambazi watatu waliuwawa na mmoja alikimbia lakini siku ya tarehe 21february wengine wanne waliuwawa tena kwa kupigwa risasi na Polisi.(BOFYA KAPA)....
     
Juu ya tukio la kuwepo kwa moto mahalifulani siku ya tarehe 14 February huko Indonesia kulitokea  mlipuko wa Volcano na kusababisha watu zaidi ya 76,000 kuyahama makazi yao(BOFYA HAPA)...
   
 Pia Muasisi wa Manabii Tanzania Mh.Dr. GeorDavie alitoa Unabii juu ya kuwepo na tatizo la Kigeographia ambapo alitoa unabii kuwa jambo hili litatangazwa sana katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa hili limethibitika kwa kupotea kwa Ndege ya Malaysia kupotea takribani wikimbil sasa huku ikiwa kila kukicha ni habari inayo kamata vichwa kwa vyombo vya habari duniani  (BOFYA HAPA)...

      Hata hivyo Nabii Nabii mkuu wa Karne ya 21 kutoka Tanzania Mh.Dr. GeorDavie kutamka juu ya kiongozi maarufu duniani kuandikwa katiaka vyombo vya habari kwa muda mrefu na hilo limetokea mara baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kutia saini sheria inayotambua jimbo la Crimea kuwa taifa huru na sehemu ya Urusi,Kutokana na hatua hiyo Umoja wa Ulaya na Marekani wametangaza vikwazo vya kutosafiri kwa maafisa wa ngazi za juu kutoka nchini Urusi na Ukraine akiwemo aliyekuwa rais wa Ukraine Viktor Yanukoych ikiwemo na kuiondoa Urusi ndani ya G8.(BOFYA HAPA)... AU (BOFYA HAPA)...


SIKILIZA SEHEMU YA KIPINDI CHA UTHIBITISHO WA UNABII.


No comments:

Post a Comment