Tuesday, October 17, 2017

USIOGOPE KUISHI MAISHA YA USHINDI KWANIMUNGU YUPO PAMOJA NAWE.

                                                KWA PICHA ZAIDI TAZAMA  ZAIDI.









hayo yamesemwa na mchungaji Dominiki Mabula pamoja na mtumishi mwanafunzi Mwajuma Hassan ambao ni watumishi wa mungu wa huduma ya ngurumo ya upako walipokuwa wakihubiri kwa nyakati tofauti kwenye ibada ya chuo chamanabii siku ya leo tarehe 17/10/2017.




wamesema kuwa ahadi ya mungu kamwe haianguki chochote akisemacho lazima kitimie chamsingi tuuu ni kuepuka kukata tamaaa.

mtumishi mwanafunzi Mwajuma Hassan alifundisha na neno lake la leolilitoka katika kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI 31:6

Pia mchungaji Dominiki Mabula  alifundisha njia kadhaa ambazo zinasaidia mtu kuishi kwa ushindini pamoja na lazima ujue mwelekeo wako pia kushikwa unayofundishwa  na unayotamkiwa  ,kuomba katika roho.na  neno lake lilitoka 1TIMOTHY 4:15,1WAKORITHO14:2:3

No comments:

Post a Comment