Tuesday, February 25, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23-02-2014


Maelfu ya wakazi toka sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Arusha na Manyara walikusanika katika Makao Makuu ya Huduma ya Ngurumo ya Upako Dunia Kisongo Arusha,
katika ibada ya Jumapili iliyo Ongozwa na Mt. Eliza Alfrey na kusimamiwa na Mt. GAUDENCIA LUILA, ambapo aliwatamkia neno la kinabii la wiki kuwa ni   BWANA ANASEMA ATAMSUKUMIA MBALI KILA ADUI YAKO.                                                                                                                  



 

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NENO LA KINABII LA WIKI

No comments:

Post a Comment