Monday, June 9, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 08-JUNE-2014

       
Ilikuwa jumapili nyingine ya baraka zaidi ambapo maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walikusanyika katika makao Makuu ya huduma hiyo Kisongo Arusha Tanzania na
kujumuika pamoja katika Ibada ya Jumapili iliyokuwa na mafundisho na baraka toka kwa Muasisi wa Manabii Nchini Tanzania Mh.Dr.Geor Davie.
          Hata hivyo Muasisi wa Manabii Nchini Tanzania Mh.Dr.Geor Davie aliweza kuwatamkia neno Kinabii la wiki ambalo nilaushindi dhidi ya kila ukuta uliokuwa unazuia wewe kufanikiwa katika maeneo mbalimbali na kupata ushindi juu ya vikwazo vyote.
          Hata hivyo Nabii Mkuu kutoka Nchini Tanznia Mh.Dr.Geor Davie aliendelea kufundisha namna ya kuendana na Viwango  vya Serikali ya ufalme wa Mungu na kuendelea kuwajenga kiimnani wahumini na kuzidi kujitambua namna ya kutumia mamlaka waliyopewa na Nabii Mkuu Mh.Dr.Geor Davie.


          Sanjari na hayo ibada hiyo ilipambwa na Muimbaji mashuhuri wa nyimbo za Injili Nchini Tanzania Upendo Kilairo toka Jijini Dar es Saalam na kuendeleza fura ya kumsifu bwana katika uimbaji.

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NENO LA KINABII LA WIKI.

No comments:

Post a Comment