Wakazi
wa Mkoa wa Arusha na maeneo mbalimbali
walihudhuria jumapili hii katika ibada
ya jiji katika hema la kukutania Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji
la Arusha wamepokea Baraka mbalimbali za
Kinabii.
Katika
ibada hiyo Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr.Geor Davie ametangaza siku 14 za kupokea wazo la kimungu kwa kila mtu
anayeamini nguvu yakinabii anayotumika
nayo.
Amesema
kuwa wazo hilo la Kimungu litakuwa katika Nyanja mbalimbali ikiwemo
Huduma,Bishara Na Kazi.
Amefafanua
kuwa wazo hilo litakuja ghafla ndani ya siku 14 ambazo zitakuwa ni za Baraka katika
sehemu mbalimbali ikiwemo biashara.
Nao
maelfu ya watu walihudhuria ibada hiyo wameeleza kufurahishwa jinsi nguvu ya
Mungu kupitia mtumishi wake Nabii Mkuu
Mheshimiwa Dr. Geor Davie inavyofanya kazi kuwafungua maelfu ya watu katika
vifungo mbalimbali.
Aidha
Dr. GeorDavie amesema kuwa alhamisi ya wiki hii ataongoza ibada ya kuwafungua
watu katika vifungo mbalimbali kwenye
chuo cha uponyaji wakati ambao utakuwa ni wabaraka zaidi kwa wote
watakaohudhuria.
Wakazi
wa Mkaoa Wa Arusha na maeneo mbalimbali
walihudhuria jumapili hii katika ibada
ya jiji katika hema la kukutania chuo kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji