Marekani imemtaka kiongozi wa
upinzani nchini kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama
raisi wan nchi hiyo wiki ijayo.
Odinga aliwasilisha Malalamiko juu ya mapungufu katika uchaguzi mkuu uliopita na kusababisha uchaguzi wa marudio ambapo Uhuru Kenyata alishinda kwa kura nyingi.
Msaidizi wa katibu wa masuala ya Afrika Marekani , Donald Yamamoto ambae ametembelea nchini kenya.
No comments:
Post a Comment