Sunday, October 14, 2018

Mbunge wa Babati Mjini kwa kupitia Chadema Pauline Gekul, ajiuzulu na Kujiunga CCM

Mbunge wa Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul 
ametangaza kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na CCM.


Barua inayosambaa  mitandaoni kuanzia  saa 4.20 usiku 

wa kuamkia leo ikionyesha kwenda kwa Spika wa Bunge
 Job Ndugai ikiwa imesainiwa na Gekul anasema 
amejiuzulu uanachama na ubunge wake.

Miongoni mwa sababu za uamuzi huo ni baadhi ya 

viongozi wa CHADEMA kuhujumu kwa makusudi 
jitihada zake za kupelekea wananchi maendeleo.

No comments:

Post a Comment