Tuesday, November 14, 2023

DKT.GEORDAVIE" FEDHA INAPATIKANA KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII."

Nabii Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie amewataka watu kutambua kuwa fedha inapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwa na akili yenye ufahamu.


Nabii Mkuu ameyasema hayo wakati akizungumza na kufundisha watu hekima mbalimbali zinazoweza kuwasaidia katika maisha yao.

Akizungumza Nabii Mkuu amesema kuwa hakuna uchawi kwenye utajiri kitu kinachotakiwa ili mtu aweze kufanikiwa ni kufanya kazi kwa bidii.

Na Beatrice Maina, N.Y.U.ARUSHA.



No comments:

Post a Comment