Saturday, November 11, 2023

NABII MKUU MHE. DKT. GEORDAVIE ANATARAJIA KUONGOZA IBADA YA JUMAPILI YA KESHO NOV12, 2023

Nabii Mkuu Mhe. Dkt.GeorDavie kesho jumapili anatarajia kuwaongeza maelfu ya watu kiuchumi kupitia ibada ya chuo kikuu cha manabii itakayofanyika katika nyumba ya amtamko ngurumo ya upako kisongo Arusha.

Akizungumza kuhusu ibada hiyo Nabii Mkuu amesema kuwa itakuwa ni ibada ya kuongezeka kiuchumi ambapo pia amemtaka kila mtu kuja na sadaka yake ya silver partner ambayo itawafungulia mlango wa kuongezeka kiuchumi.

Aidha katika huduma ya Ngurumo ya Upako huwa watu wanatoa sadaka zao kila mwezi kwa ajili ya kusapoti maono ya mtu wa Mungu Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie.

Na Beatrice Maina, N.Y.U ARUSHA.


No comments:

Post a Comment