Monday, March 12, 2018

Urusi yafanya jaribio la Kombola lisilozuilika.

Urusi imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la kombora lisiloweza kuzuilika ambalo ni miongoni mwa makombora yaliyotangazwa na Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin katika kampeni zake.

Wizara wa ulinzi ya Urusi imeonyesha video ambayo ilikuwa ikionyesha kombora

Pierre Nkurunzinza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha chama tawala cha CNDD/FDD Burundi

Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kama kiongozi mkuu wa kudumu au kiongozi wa milele ndani ya chama hicho.
Uamzi huo umefikiwa baada ya vikao vya siku tatu vya mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika katika eneo la Buye anakozaliwa Bwana Nkurunziza Kaskazini mwa nchi hiyo.
Uamuzi huo pia unachukuliwa wakati Burundi inajiandaa kufanya marekebisho ya katiba ili kumruhusu Rais Nkurunzinza kuendelelea kuongoza taifa hilo hadi mwaka 2034.
Taaarifa fupi ya chama cha CNDD/FDD imesema vikao hivyo vilinuwia kuimarisha chama tawala na taasisi zake.

 


Lakini pia chama hicho tawala kimechukua uamuzi wa kumuongezea hadhi na

Sunday, March 11, 2018

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 12

SeeBait

Serikali yaiunda upya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema Serikali imefanyia mabadiliko Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuanzisha Ofisi nyingine mbili mpya kwa lengo la kuongeza Tija na Ufanisi katika utendaji kazi.

Prof Kabudi alikuwa akizungumza na watendaji wa Wizara na Taasisi zinazounda sekta ya Sheria nchini makao makuu ya Wizara mjini Dodoma ambao

Wednesday, March 7, 2018

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini


“Kwa masikitiko nimepokea taarifa ya kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma Dkt. Walid Amani Kaburu kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 07 Machi, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Majambazi wamvamia na kujaribu kumkata miguu mwanariadha wa Afrika Kusini kwa msumeno

Mhlengi Gwala

Mwanariadha nchini Afrika Kusini nusura akatwe miguu kabisa aliposhambuliwa na kundi la wanaume alipokuwa anafanya mazoezi Jumanne alfajiri.

Forbes: Trump ashuka orodha ya matajiri duniani 2018

Donald Trump 
Rais wa Marekani Donald Trump ameshuka nafasi 222 katika orodha ya kila mwaka ya watu tajiri zaidi duniani ambayo hutolewa na jarida la Forbes.

Mafuta yapanda bei.....Hizi ni bei elekezi zitakazoanza kutumika Machi 7, 2018


Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za mafuta kwa mwezi huu huku petroli na dizeli zikiongezeka .

SIKILIZA N.Y.U REDIO 99.3 KILA SIKU MASAA 24 SIKU SABA ZA WIKI.


KUTUPATA KUPITIA INTERNET BOFYA LINKI HIYO HAPO CHINI

Watumishi wa umma walioondolewa kazini kimakosa kurejeshwa


Taarifa ya serikali kwa watumishi walioondolewa kazini kwa kukosa vyeti vya kidato cha nne

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 7


LHRC wafafanua hoja za NEC dhidi ya tamko la asasi za Kiraia


TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA HOJA ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) DHIDI YA TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA


Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea barua Kumb. Na. BA.71/75/01/124 ya tarehe 22 February 2018 kutoka kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani na kupitia kwa umakini mkubwa hoja za Tume Ya Uchaguzi dhidi ya tamko lililotolewa na umoja wa Asasi Za Kiraia, chini ya Jukwaa la Wakurugenzi wa AZAKI, Februari 21, 2018 kuzungumzia hali ya usalama wa raia, haki za binadamu na utawala wa sheria hapa nchini.