Kadinali wa pili wa Huduma ya Ngurumo ya upako mchungaji Elizabeth Humphrey amewakumbusha watu wote kuhudhuria ibada ya chuo cha manabii siku ya kesho jumanne katika hema la kukutania kisongo arusha.
Monday, February 5, 2018
MCHUNGAJI ELIZABETH AWAALIKA WATU KUHUDHURIA IBADA YA CHUO CHA MANABII SIKU YA KESHO JUMANNE.
Kadinali wa pili wa Huduma ya Ngurumo ya upako mchungaji Elizabeth Humphrey amewakumbusha watu wote kuhudhuria ibada ya chuo cha manabii siku ya kesho jumanne katika hema la kukutania kisongo arusha.
Mahakama ya Rufaa yamwondolea DPP mamlaka ya kuzuia dhamana za Washitakiwa
Mahakama
ya Rufaa imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kuzuia
dhamana ya mshtakiwa bila hata kulazimika kutoa sababu, baada ya
kubatilisha kifungu cha 148 (4
Sunday, January 28, 2018
London: Mshukiwa aliyewagonga vijana 3 atorotoka eneo la ajali'

Mwanamume anayeshukiwa kutoroka
kutoka eneo la tukio la ajali ya gari ya kutisha iliyowauwa vijana
watatu wa kiume anasakwa na polisi.
Wahanga hao watatu wa
ajali waliokufa baada ya gari la Audi kupandaukingo wa barabara mjini
London, wametambuliwa kama Harry Louis Rice, George Wilkinson na
Josh Kennedy.
Waziri Mkuu Majaliwa Awasili Nchini Ethiopia,kumwakilisha Rais Magufuli Katika Kongamano La Viongozi Wakuu Wa Umoja Wa Nchi Za Afrika
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani,
kwenye ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa safarini kueleke
Ethiopia, katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
AU, Waziri Mkuu, anamwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano
huo. Januari 28, 2018.
Waziri Lukuvi Atangaza Kiama
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ametangaza kiama
kwa wamiliki ardhi ambao hawajalipa kodi ya pango la ardhi na kutoa
muda hadi April 30 mwaka huu kuhakikisha wanalipa kodi hiyo.
BREAKING NEWS:MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH MRISHO GAMBO AKUTANA NA NABII MKUU TANZANIA MH DK GEORDAVIE LEO JUMAPILI.
"Jioni
Hii ya Leo tarehe 28/01/2018 Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Mh Mrisho Gambo ,Amekutana Na Nabii Mkuu Mh
Dk Geordavie Katika Hoteli Ya The Arusha By Sheraton Ili Kusalimiana Na Kupokea
Baraka Za Kinabii".
Wednesday, January 17, 2018
Japan yaonya kuhusu urafiki ambao umeonekana kutoka Korea Kaskazini

Japan imeuambia mkutano wa kimataifa
kuhusu Korea Kaskazini kuwa dunia isifumbwe macho na urafiki amabo
umeanza kuonekana kutoka kwa Korea Kaskazini.
Afrika Kusini yamwita balozi wa Marekani Kufuatia Matamshi ya Kuudhii ya Rais Donald Trump
Wizara
ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa nchini Afrika Kusini imemwita
Naibu Balozi wa Marekani, jijini Pretoria kufuatia matamshi ya Rais
Donald Trump wa nchi hiyo kuhusu nchi za Afrika.
Rais Magufuli Akutana na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo Na Kupiga Marufuku Michango Yote Shuleni
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari
17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za
Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza Mawaziri Jafo na Ndalichako
kusimamia hilo.
SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA
Subscribe to:
Posts (Atom)








