Monday, March 3, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 02-03-2014

Ilikuwa juamapili ya baraka na yenye nguvu na Muujiza kwa maelfu ya waumini wa Ngurumo ya Upako walio kusanyika katika Hema la kukutania Kisongo Arusha .

Ambapo kiongozi Mkuu wa Huduma Ya Ngurumo Ya Upako Duniani na Nabii Mkuu Dr. GeorDavie ambapo aliwatamkia maelfu ya waumini neno la kinabii kuwa hii ni wiki ya KUREKEBISHIWA MAMBO YAKO.

Aidha ibada hiyo ilihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo Mtumishi wa Mungu Nabii Harry Kgomosotho kutoka Afrika ya Kusini ambaye alikuja kuthibitisha Neno la Kinabii alilolitamka Nabii Mkuu Dr. GeorDavie ambapo alipewa nguvu za Mungu za kuweza kufungua watu zaidi
Nabii Mkuu Dr. GeorDavie akifundisha somo.






Nabii Mkuu Dr. GeorDavie akimpaka mafuta Mtumishi Kgomosotho kutoka Afrika ya Kusini.

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NENO LA KINABII LA WIKI HAPA CHINI.

No comments:

Post a Comment