Monday, March 24, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23-03-2014

   
 Ilikuwa  Jumapili nyimgine ya baraka zaidi pale ambapo maelfu ya waumini wa Huduma ya Ngurumo ya Upako waliweza kufika na kupokea baraka za Mungu chini ya Hema la kukutania Kisongo Arusha ambapo
Ibada hiyo iliongozwa na Apostle Gaudencia Luila,
     Hata hivyo Nabii Mkuu wa Karne ya 21 na Muasisi wa Manabii Tanzania Dr.GeorDavie aliweza kuwatamkia Neno la Kinabii la wiki ambalo ni "TUNATEMBEA KATIKA NENO MOJA TU LA KINABII ALILOWAHI KULITAMKA LATOSHA"


Apostle Gaudencia Luila
Nabii Mkuu Mh.Dr. GeorDavie akiwaongoza waumini kufanya ishara ya kusukuma Kero na matatizo kurudi katika droo zake.







Mtangazaji wa N.Y.Ufm 99.2 Happiness Msemwa akifuatilia ibada kwa umakini
 Ibada hiyo iliyo ambatana na huduma ya kufunguliwa kwa watu mbalimbali kutoka katika vifungo vya muovu shetani.


Hata hivyo  ibada hiyo iliamabatana na kupanda mbegu kwa vijana wa Comedy wa N.Y.U  katika miguu ya Nabii Mkuu Mh.Dr. GeorDavie.




No comments:

Post a Comment