Vikosi
vya Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo FARDC, vimeanzisha hatua za
kijeshi dhidi ya waasi wa Rwanda wa kundi la FDLR.Katika vijiji vya Ruvuye na
Mulindi katika misitu ya maeneo ya mji wa Lemera tarafani Uvira mkoani Kivu ya
kusini.
Baadhi wa wajumbe wa kundi hilo wanashutumiwa
kushiriki katika mauaji ya kimbari ya Rwanda kabla ya kutoroka katika nchi
jirani ya Jammuhuri ya kidemokrasi ya CongoWednesday, February 25, 2015
Friday, February 20, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI,TAREHE 19/February/2015
Maelfu
ya watu waliohudhuria katika chuo cha uponyaji
leo katika hema la kukutania kisongo nje kidogo ya Jiji La Arusha wametoa sadaka ya kujiepusha na majanga, ambapo
hivi karibuni Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr.GeorDavie alitoa unabii utakaodumu hadi mwezi
wa sita kuwa kutatokea majanga mbalimbali nchini.
Monday, February 16, 2015
IBADA YA JUMAPILI.TAREHE 15/February/2015
Baraka mbalimbali za
kinabii zimeendelea kumiminika kwa Maelfu ya watu walioudhuria ibada ya Jiji
Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Katika ibada hiyo Nabii
Mkuu Mheshimiwa Dr GeorDavie ametangaza
Baraka mpya ya
Thursday, February 12, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 12/February/2015.
Nabii Mkuu Mh.Dr.GeorDavie ametoa Unabii wa Muda wa miezi mitano kuanzia Februari hadi June mwaka huu kuwa kuna mambo yatakayotokea ambayo yatakuwa ya kushangaza. Mh.Dr.GeorDavie ametoa Unabii huo leo wakati wa ibada ya Chuo cha Uponyaji iliyofanyika katika hema la Kukutania la Ngurumo ya Upako Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Wednesday, February 11, 2015
NIGER YACHAGUA VITA DHIDI YA BOKO HARAM.
Bunge la Niger limepiga kura kwa
kauli moja, kutuma vikosi nchini Nigeria kujiunga na mapambano ya kikanda dhidi
ya kundi la Boko Haram. Kulingana na azimio la bunge hilo, Niger itatuma
wanajeshi 750 nchini Nigeria.
Wavuvi hawaendi tena ziwani kuvua, wakulima
hawaendi tena mashambani, shule zimefungwa. Wakaazi wa maeneo ya mpakani ya
Diffa na Bosso, kusini mwa Niger wamejawa na hofu, kutokana na magaidi
waliojigeuza wapiganaji wa jihadi, ambao wanatishia usalama wa taifa lao."
Hao ni makatili tu wasioheshimu sheria, wanaiba, kuuwa, na kubaka,"
alisema Abdou Lokoko, mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali nchini Niger.
Monday, February 9, 2015
IBADA YA JUMAPILI. TAREHE 8/February/2015
Wakazi
wa Mkoa wa Arusha na maeneo mbalimbali
walihudhuria jumapili hii katika ibada
ya jiji katika hema la kukutania Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji
la Arusha wamepokea Baraka mbalimbali za
Kinabii.
Thursday, February 5, 2015
HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO ILIYOKO CHINI YA NABII MKUU MH.DR.GEORDAVIE IMETOA MSAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI KUMI .
Huduma
ya Ngurumo ya Upako iliyoko chini ya Nabii Mkuu Mh.Dr.GeorDavie leo imetoa
msaada kwa vituo sita vya watoto yatima wenye thamani ya shilingi milioni kumi
.
Msaada
huo ambao ni vitu mbalimbali kama Mchele, sukari, mafuta ya kupikia pamoja na
sabuni umekabidhiwa kwa walezi wa vituo hivyo lengo likiwa ni kuwasaidia watoto
hao ili nao wajione kuwa sawa na watoto wengine wenye wazazi.
Monday, February 2, 2015
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 2/February/2015
Maelfu ya watu wamekusanyika katika chuo kikuu cha manabii kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha kwenye ibada ya jiji ambayo iliongozwa na Nabii mkuu Dr. GeorDavie na kupokea Baraka mbalimbali za kinabii.
Subscribe to:
Posts (Atom)