Friday, November 17, 2023

NABII MKUU DKT. GEORDAVIE KUPANDISHA VIWANGO VYA WATU KIMAISHA.

Nabii Mkuu Mheshimiwa Dkt.GeorDavie Balozi wa Amani anatarajia kupandisha viwango vya watu kimaisha ili waondokane na umasikini.


Nabii Mkuu atawapandisha watu viwango kupitia ibada ya chuo kikuu cha manabii itakayofanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Arusha ambapo itakuwa ni ibada ya kupanda viwango kimaisha.

Aidha amewata watu kuja na sadaka maalum ya kujiambatanisha na matamko ya kinabii ya kupanda viwango.

Na Beatrice Maina, N.Y.U RADIO.



No comments:

Post a Comment