Sunday, November 5, 2023

NENO LA WIKI HII KINABII KWA AJILI YAKO KUTOKA KWA NABII MKUU MHE. DKT. GEORDAVIE

Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie ametanga neno la wiki hii kuwa hii ni wiki ya kukumbukwa kwa maombi yako.

Ametanga neno hilo jumapili ya tarehe 05.11.2023 katika ibada iliyofanyika nyumba ya matamko kisongo Arusha ambapo ilikuwa ni ibada ya kukumbukwa kwa maombi yako.

Nabii Mkuu amesema kuwa kila jambo ulilowahi kuomba kwa wakati wowote ule wiki hii linakumbukwa huku akiongeza kuwa wiki hii imekuwa ni kumbukumbu mbele ya Mungu kwa ajili ya maombi yako ili kila jambo liweze kujibiwa.

Na Deogratius Festo.



No comments:

Post a Comment