Wednesday, July 19, 2017

WATUMISHI WA MUNGU KUTOKA MAKANISA MBALIMBALI WAITIKIA WITO ULIOTOLEWA NA NABII MKUU MH DK. GEORDAVIE.

Watumishi wa mungu kutoka maeneo mbalimbali wameitikia wito uliotolewa na Nabii Mkuu Mh Dk GeorDavie  wa kushiriki katika ibada ya chuo kikuu cha manabii itakayofanyika katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo siku ya jumapili.














Wakizungumza kwa njia ya simu katika kipindi cha Radio Chuo kinachorushwa na N.Y.U Radio watumishi hao ambao ni Mtume Elisifa Kefas na Nabii Lightnes Mollel wameonyesha kuupokea wito huo.
 









Aidha Wito  huo ulitolewa na Nabii Mkuu Mh Dk GeorDavie  siku ya jumapili  katika ibada ya jiji iliyofanyika katika hema la kukutania kisongo Arusha.



No comments:

Post a Comment