Nabii Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie amewataka wananchi kulinda Amani iliyopo nchini.
Nabii Mkuu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na
wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari katika ukumbi wa Sephil Saphire
jijini Dodoma.
" Tulinde Utulivu na Amani katika Nchi ya Tanzania pia
tujitoze kupiga kura kwa sababu ni swala la msingi na Haki ya Kila
mtu"/Amesema Nabii Mkuu Dkt.GeorDavie Balozi wa Amani Taifa.
Aidha amewataka pia viongozi wa Dini kuendelea kumuombea Rais na kuyasema yote mema aliyoyafanya katika kutekeleza shughuli mbalimbali ya kimaendeleo.
Na Beatrice Maina@NYU ARUSHA. #GeorDavietv
YouTube #GeorDavietv
Instagram #GeorDavie
Facebook #GeorDavie
TikTok #GeorDavie
Maarifa
No comments:
Post a Comment