Nabii Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie amewashukuru watu wote walio mpongeza kwa kupata tuzo ya heshima ya Udaktari aliyokabidhiwa na umoja wa madaktari na maprofessa julai 5 jijini Dodoma.
Nabii Mkuu ametoa shukrani hizo jana katika ibada ya chuo
kikuu cha manabii iliyofanyika ngurumo ya upako kisongo Arusha ambapo ilikuwa
ni ibada ya shukrani kwa kuvuka nusu mwaka na kuanza nusu nyingine kwa ushindi.
Akizungumza Nabii Mkuu amesema kuwa watu wote wamekuwa
wamiliki wakubwa wa heshima hiyo na amekuja kuwakabidhi heshima hiyo kwa sababu
walionyesha mahitaji yao ya kiroho na kimwili na yeye akayaangalia kwa
kuwafungua na kuwasapoti.
No comments:
Post a Comment