Tuesday, November 3, 2026

DC ARUMERU AMSHUKURU MHE. NABII MKUU PROF. GEORDAVIE KWA KUKUBALI KUSHIRIKIANA NAYE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA

DC Neema Lugangira "Namshukuru sana Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Mhe. Nabii Mkuu Profesa GeorDavie, kwa mwaliko maalum wa kushiriki ibada leo na kwa kukubali kushirikiana nami katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia hapa Wilaya ya Arumeru, ambapo yeye pia ni mkazi".

Ameyasema hayo kupitia ukurasa wake Neema Lugangira na hiyo ni mara baada ya kushiriki ibada ya kimataifa ya Chuokikuu cha Manabii iliyofanyika novemba 01, 2026 katika nyumba ya matamko Kisongo Arusha.





No comments:

Post a Comment