Tuesday, October 24, 2017
Umoja wa Mataifa wataka wapinzani 30 kuachiwa huru DRC

Umoja wa mataifa umetoa wito ya
kuachiwa mara moja kwa watu 30, wa chama kikuu cha upinzani katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutoka korokoroni.
Ndoa za utotoni zakithiri Afrika Magharibi na Kati
Licha ya kuwepo kwa upungufu wa
kesi za ndoa za utotoni, nchi za Afrika Magharibi na Kati zimeshuhudia
ongezeko la ndoa za utotoni. Maisha ya pacha waliozaliwa wameshikana hatarini Gaza.
Maisha ya watoto
pacha waliozaliwa wakiwa wameshikana yako hatarini iwapo hawataondolewa
ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa madaktari.
Alam Abu Hamna kutoka
hspitali ya Shifa, ilisema kuwa hali inayowakumba watoto hao wasichana
ni ngumu na kwamba haiwezi kutatuliwa na madaktari wa hospitali zilizo
ukanda wa Gaza.
KAULI YA PROFESA LUOGA BAADA YA KUTEULIWA KUWA GAWANA WA BOT
Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema
amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na
anatambua changamoto za nafasi hiyo.

Profesa
Luoga ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM) - Taaluma, amesema leo Jumatatu Oktoba 23,2017 kuwa
Monday, October 23, 2017
JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA MAGARI 18 YA KISASA YALIYOKUWA MABOVU.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda jana Oktoba 22
amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani
Kilimanjaro yakiwa Mabovu (Mkweche) kwaajili ya kufufuliwa upya.
Magari
hayo yalipelekwa Kilimanjaro yakiwa yamebebwa kutokana na ubovu lakini
sasa yanarejea Dar es Salaam Rais Magufuli Ataka Wanaopika Data za Uongo Wahughulikiwe
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kuvitaka vyombo vya dola nchini viwashungulikiwe watu ambao wamekuwa wakipika data za uongo za serikali na kuzichapisha sehemu mbalimbali na kusema watu hao wanapaswa kufikishwa mahakamani.
Sunday, October 22, 2017
KIGWANGALA AFUTA VIBALI VYOTE VITALU VYA UWINDAJI.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amefuta vibali vyote vya
uwindaji kwa kampuni kuanzia Oktoba 22,2017 na kutoa siku 60 kwa
watendaji ili waratibu mchakato upya utakaowezesha vitalu kugawiwa kwa
mnada.

Dk
Kigwangalla pia amemwagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, ndani ya muda
Friday, October 20, 2017
Ni Ushindi MKUBWA Kwa Taifa Letu........Hiii Hapa Hotuba Ya Rais Magufuli Baada Ya Kukamilika Majadiliano Kati Ya Tanzania Na Barrick
Majadiliano kati ya Tanzania na timu ya wawakilishi wa kampuni ya Barrick Gold inayomiliki migodi ya madini hapa nchini yamekamilika na makubaliano kati ya pande hizo yametiwa saini jana tarehe 19 Oktoba, 2017 mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)





