Wednesday, October 25, 2017

MAHAKAMA YA JUU NCHINI KENYA KUSIKILIZA KESI YA WAPIGA KURA WATATU.



Mahakama ya juu nchini Kenya leo Jumatano itasikiliza kesi ya dharura iliyowasilishwa na wapiga kura watatu dakika za mwisho wakidai kuwa Kenya haiko tayari kufanya uchaguzi huo.
 Wakenya wana hisia mgawanyiko kuhusu iwapo watashiriki uchaguzi wa marudio
Mahakama imeombwa kuingilia kati na kuamua - iwapo uchaguzi wa marudio

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO, Alhamis, Oct25,2017


Tuesday, October 24, 2017

Waziri Mwakyembe mgeni rasmi mkutano wa viongozi wa dini


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe atakuwa mgeni

Tuzo za Mawaziri na Wabunge watakaofanya vizuri zazinduliwa

Umoja wa Mataifa wataka wapinzani 30 kuachiwa huru DRC

Wapinzani wakiandamana nchini DR Congo
Umoja wa mataifa umetoa wito ya kuachiwa mara moja kwa watu 30, wa chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutoka korokoroni.

Ndoa za utotoni zakithiri Afrika Magharibi na Kati

bi harusi mtotoLicha ya kuwepo kwa upungufu wa kesi za ndoa za utotoni, nchi za Afrika Magharibi na Kati zimeshuhudia ongezeko la ndoa za utotoni.

Maisha ya pacha waliozaliwa wameshikana hatarini Gaza.


Palestinian conjoined twins lie in an incubator at the nursery of the Shifa Hospital in Gaza City (02 October 2017)

Maisha ya watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameshikana yako hatarini iwapo hawataondolewa ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa madaktari.
Alam Abu Hamna kutoka hspitali ya Shifa, ilisema kuwa hali inayowakumba watoto hao wasichana ni ngumu na kwamba haiwezi kutatuliwa na madaktari wa hospitali zilizo ukanda wa Gaza.

RAIS WA TFF "AMUUMA SIKIO" KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA SWEDEN



Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Sweden, Mariane Sundhage  Oktoba 23, 2017 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen Kebwe katika Ofisi ya Mkoa na kufanya mazungumzo yenye lengo la kuboresha soka la wanawake nchini.

KAULI YA PROFESA LUOGA BAADA YA KUTEULIWA KUWA GAWANA WA BOT

Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na anatambua changamoto za nafasi hiyo.



Profesa Luoga ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) - Taaluma, amesema leo Jumatatu Oktoba 23,2017 kuwa

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO Jumanne,Oct24,2017


Monday, October 23, 2017

JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA MAGARI 18 YA KISASA YALIYOKUWA MABOVU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda jana Oktoba 22 amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa Mabovu (Mkweche) kwaajili ya kufufuliwa upya.

Magari hayo yalipelekwa Kilimanjaro yakiwa yamebebwa kutokana na ubovu lakini sasa yanarejea Dar es Salaam

Rais Magufuli Ataka Wanaopika Data za Uongo Wahughulikiwe

Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kuvitaka vyombo vya dola nchini viwashungulikiwe watu ambao wamekuwa wakipika data za uongo za serikali na kuzichapisha sehemu mbalimbali na kusema watu hao wanapaswa kufikishwa mahakamani.