Tuesday, February 25, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23-02-2014


Maelfu ya wakazi toka sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Arusha na Manyara walikusanika katika Makao Makuu ya Huduma ya Ngurumo ya Upako Dunia Kisongo Arusha,

Thursday, February 20, 2014

Rais wa Ukraine akubali kufikia makubaliano na upinzani

Rais  wa  Ukraine Viktor Yanukovich  ametangaza makubaliano  na  viongozi  wa upinzani  na  kuanza majadiliano  kumaliza  umwagikaji  wa  damu.

Monday, February 17, 2014

(HABARI). Ndege ya Ethiopia iliotekwa yatua mjini Geneva

Ndege ya shirika la Ethiopia iliokuwa inaelekea mjini Roma imetekwa hii leo asubuhi, na kulazimika  kutua mjini Geneva ambapo mtekaji nyara

(NEWS). UJERUMANI WAKIRI KUONGEZA UIMARA WA KIJASUSI DHIDI YA NCHI ZA MAGHARIBI.

Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jarida la kila wiki la Ujerumani, Der Spiegel.Ripoti hiyo inasema balozi za nchi za magharibi kama vile Marekani na Uingereza hapa Ujerumani zitafuatiliwa kwa

(NEWS). MADEREVA WA BENAKO WILAYA YA NGARA WALIA NA KUMALIZIWA KWA EGESHO LA MAGARI

Baadhi ya madereva katika mji mdogo wa Benako Wilayani Ngara mkoani Kagera wameiomba halmashauri ya wilaya hiyo kukamilisha ujenzi wa kituo cha kuegesha magari kilichoanza kujengwa tangu miaka mitatu iliyopita kwenye eneo hilo

Sunday, February 16, 2014

IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 16-02-2014


Katika ibada iliyofanyika Makao Makuu ya huduma ya NGURUMO YA UPAKO DUNIANI iliyoongozwa na Kadinali wa huduma hiyo

Thursday, February 13, 2014

(NEWS).KARATU TOUR SUMMIT!!!!


MAKUTANO YA WA WATU KATIKA MJI WA KARATU WAKIPOKEA MANENO YA KINABII WAKATI WA ZIARA YA NABII MKUU MH.DK.GEORDAVIE MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA.


WATU WAKIMSUBIRI NABII MKUU MH. DR.GEORDAVIE

 H.E Hon. Dr. GeorDavie IS BEEN INTERVIEWED BY THE COUNTRY MEDIA JOURNALISTS JUST BEFORE TAKING OFF TO ARUSHA CITY!!!








Wednesday, February 5, 2014

(HABARI). Erdogan aiomba Ujerumani isaidie

      Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan  ameiomba Ujerumani iiunge mkono nchi yake katika juhudi za nchi hiyo za kuwania kujiunga na