Tuesday, October 31, 2023

BREAKING NEWS: NABII MKUU MHE. DKT. GEORDAVIE KUWEPO REDIONI' JUMATANO HII NOV 01, 2023

Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie jumatano wiki hii anatarajia kuwepo radioni katika kipindi maalumu kitakachoanza kuanzia  saa mbili na nusu usiku.

Taarifa kutoka ikulu ya Nabii Mkuu imesema kuwa Nabi Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie amesema, Mungu amemuongoza kuja radioni ili kuwaepusha watu wake na pigo ambalo adui amekusudia kukudhuru nalo.

Pia Nabii Mkuu ameongeza kuwa kati ya mambo ambayo Mungu amempa dhamana ya kuja kukufutia ni Pamoja na ajali, kifo cha ghafla na janga la uharibifu huku akisema kuwa Mungu amewakumbuka watu wake.

Aidha kila mmoja ametakiwa kujiandaa kwa sadaka maalumu ya shilingi elfu 10,000 kwa ajili ya kupokea kibali cha kufutiwa majanga yote kwa mpigo kupitia neno la mtu wa Mungu Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie usiku huo.



No comments:

Post a Comment