Monday, February 9, 2015

IBADA YA JUMAPILI. TAREHE 8/February/2015

Wakazi wa Mkoa wa Arusha  na maeneo mbalimbali walihudhuria jumapili hii  katika ibada ya jiji katika hema la kukutania Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha wamepokea  Baraka mbalimbali za Kinabii.

Katika ibada hiyo Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr.Geor Davie ametangaza siku 14  za kupokea wazo la kimungu kwa kila mtu anayeamini nguvu  yakinabii anayotumika nayo.
Amesema kuwa wazo hilo la Kimungu litakuwa katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Huduma,Bishara Na Kazi.

Amefafanua kuwa wazo hilo litakuja ghafla ndani ya siku 14 ambazo zitakuwa ni za Baraka katika sehemu mbalimbali ikiwemo biashara.
Nao maelfu ya watu walihudhuria ibada hiyo wameeleza kufurahishwa jinsi nguvu ya Mungu kupitia  mtumishi wake Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie inavyofanya kazi kuwafungua maelfu ya watu katika vifungo mbalimbali.
Aidha Dr. GeorDavie amesema kuwa alhamisi ya wiki hii ataongoza ibada ya kuwafungua watu katika vifungo mbalimbali  kwenye chuo cha uponyaji wakati ambao utakuwa ni wabaraka zaidi kwa wote watakaohudhuria.

Wakazi wa Mkaoa Wa Arusha  na maeneo mbalimbali walihudhuria jumapili hii  katika ibada ya jiji katika hema la kukutania chuo kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha wamepokea  Baraka mbalimbali za Kinabii.