Akithibitisha
 hayo Kamanda wa polisi Mkoa wa Rukwa, SSP George Kyando amesema jeshi 
la Polisi likiwa kwenye doria ya pamoja na Askari wa Uhamiaji 
walifanikiwa kukamata raia wawili wa Congo wakiwa na maboksi hayo yenye 
vipande vya mawe na mchanga mweuzi (nusu kilo) ambapo raia hao wa Congo 
wamesema kuwa mawe hayo ni yakisanii. 

No comments:
Post a Comment