Wednesday, September 6, 2017

WATA WAMETAKIWA KUENDELEA KUJISAJILI KWA AJILI YA KUSHIRIKI KAONGAMANO.




Ikiwa zimebaki siku tatu kufanyika kwa konagmano la tisa chini ya Nabii Mkuu Dk. GeorDavie litakalofanyika Georlander city siku ya Jumamosi watu wametakiwa kuendelea kujisajili ili kushiriki kongamano  hilo
Akizungumza na N.Y.U Radio Kadinali wa kwanza wa huduma ya Ngurumo ya
Upako Mtume Gaudensia Luila amesema kuwa ni vyema kila mmoja kushiriki ili kwenda  kumsikiliza Nabii mkuu Mh DkGeorDavie atakwenda kutuambia nini siku hiyo.
Kongamano hilo litakalofanyika Georlander city siku ya Jumamosi ni la tisa tangu kuanzishwa kwa makongamano katika huduma ya ngurumo ya upako ambapo watu mbalimbali walioshiriki makongamno yaliyopita, wameendelea kupiga hatua kiroho na kimwili pia.



No comments:

Post a Comment