Monday, February 2, 2015
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 2/February/2015
Maelfu ya watu wamekusanyika katika chuo kikuu cha manabii kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha kwenye ibada ya jiji ambayo iliongozwa na Nabii mkuu Dr. GeorDavie na kupokea Baraka mbalimbali za kinabii.
Thursday, January 29, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 29/January/2015
Maelfu
ya wakazi wa jiji la Arusha na wale wanaoamini Nguvu ya Kinabii wametengwa na kila kusudi baya la shetani
katika mambo mbalimbali maishani.
Hayo
yamefanyika katika Chuo Cha Uponyaji katika hema la kukutania la Ngurumo ya
Upako Chuo Cha Manabii Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Monday, January 26, 2015
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 25/01/2015.
Jamii nchini imetakiwa
kutambua mchango wa wazazi wao bila kujali kiwango cha msaada waliuopata kutoka
kwao.
Friday, January 23, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 22/January/2015.
Kiongozi Mkuu wa Huduma
ya Ngurumo ya Upako duniani Nabii Mkuu Mh.Dr.GeorDavie amewabariki maelfu
ya watu kwa kuwaingizia kitu cha Kimungu ambacho pia kitawasaidia kumtafuta
Mungu.
Monday, June 9, 2014
UTHIBITIBISO WA MANENO KINABII ULIOTOLEWA NA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mhe.Dr.GeorDavie JUU YA UPATIKANAJI WA MADINI KIRAHISI KWA WACHIIMBAJI(LOLIONDO)
Maelfu ya wakazi
Wilayani Loliondo na maeneo mbalimbali nchini wanaendelea kumiminika
katika eneo kulikogundulika kuwa na
madini aina ya dhahabu katika kijiji cha
mugongo kata Wilayani humo.
mugongo kata Wilayani humo.
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 08-JUNE-2014
Ilikuwa jumapili nyingine ya baraka zaidi ambapo maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walikusanyika katika makao Makuu ya huduma hiyo Kisongo Arusha Tanzania na
Thursday, June 5, 2014
CHATU AUWAWA KUTOKA KATIKA NYUMBA YA MTU JIJI ARUSHA
Ikiwa imepita takribani miezi miwili tangu Nabii Mkuu na Mwasisi wa Manabii Tanzania Mh.Dk.GeorDavie atangaze ushindi dhidi ya kazi na nguvu zote za wachawi na waganga wa kienyeji, mambo mbalimbali yameelendelea kutimia amabapo ni pamoja na hili la nyoka aina ya
Sunday, May 11, 2014
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 11-05-2014
Ilikuwa Jumapili nyimgine ya baraka zaidi pale ambapo maelfu ya
waumini wa Huduma ya Ngurumo ya Upako waliweza kufika na kupokea baraka
za Mungu chini ya Hema la kukutania Kisongo Arusha ambapo,
Monday, May 5, 2014
IBADA YA JUMAPILI TARE 04-O5-2014
Maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha na maeneo mbalimbali walikusanyika katika Hema la kukutania Chuo Cha Manabii Kisongo Arusha, ambapo waliweza kupokea na kufunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali vya muovu shetani.
Tuesday, April 29, 2014
Urusi yawekewa vikwazo vingine na nchi za magharibi
Wednesday, April 9, 2014
PATA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie.
Sasa Unaweza kusikiliza na Kudownload bure kabisa Methali za Muasisi wa Manabii TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie, zenye mafundisho ya kukujenga Kiroho na kukupa mafundisho zaodo.
SIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA Mh.Dr.GeorDavie.
Wednesday, April 2, 2014
UTHIBITIBISO WA MANENO KINABII ULIOTOLEWA NA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie JUU YA JIJI LA ARUSHA.
Ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2013 ambapo MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie aliweza kufanya Ziara katika eneo la maduka la SHOP RITE jiji Arusha na kutoa Unabii kwa maendeleo ya jiji la Arusha na kuwatamkia maelf ya watu waliokuwa wamefika katika eneo hilo kuwa na afya njema.
Subscribe to:
Posts (Atom)








