Tuesday, April 29, 2014
Urusi yawekewa vikwazo vingine na nchi za magharibi
Wednesday, April 9, 2014
PATA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie.
Sasa Unaweza kusikiliza na Kudownload bure kabisa Methali za Muasisi wa Manabii TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie, zenye mafundisho ya kukujenga Kiroho na kukupa mafundisho zaodo.
SIKILIZA NA KUDOWNLOAD METHALI ZA Mh.Dr.GeorDavie.
Wednesday, April 2, 2014
UTHIBITIBISO WA MANENO KINABII ULIOTOLEWA NA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie JUU YA JIJI LA ARUSHA.
Ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2013 ambapo MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr.GeorDavie aliweza kufanya Ziara katika eneo la maduka la SHOP RITE jiji Arusha na kutoa Unabii kwa maendeleo ya jiji la Arusha na kuwatamkia maelf ya watu waliokuwa wamefika katika eneo hilo kuwa na afya njema.
Friday, March 28, 2014
UTHIBITISHO WA MANENO YA KINABII KUTOKA KWA MUASISI WA MANABII TANZANIA Mh.Dr. GeorDavie.
Mara kwa mara Muasisi wa Manabii Tanzania Mh.Dr. GeorDavie amekuwa akitamka maneno ya Kinabii kwa Watu, Taifa na Dunia kwa ujua na kwa asilimia mia(100%) unabii huo umekuwa ukitimia na kushuhudiwa na watu mbalimbali.
Wednesday, March 26, 2014
EXCLUSIVE NEWS -Muasisi wa manabii Tanzania mh Dr GeorDavie awahudumia watu kwa njia ya mtandao wa Facebook.
Ikiwa ni siku 3 tangu Muasisi wa manabii Tanzania mh Dr
GeorDavie aitangaze wiki hii kuwa ni wiki ya kutembea katika neno moja tu la
kinabii, mapema leo saa nne asubuhi, amewahudumia watu kwa njia ya mtandao wa
kijamii Facebook.
Monday, March 24, 2014
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23-03-2014
Ilikuwa Jumapili nyimgine ya baraka zaidi pale ambapo maelfu ya waumini wa Huduma ya Ngurumo ya Upako waliweza kufika na kupokea baraka za Mungu chini ya Hema la kukutania Kisongo Arusha ambapo
Sunday, March 9, 2014
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 09-03-2014
Ilikuwa juamapili ya baraka na yenye nguvu na Muujiza kwa maelfu ya waumini wa Ngurumo ya Upako walio kusanyika katika Hema la kukutania Kisongo Arusha,
Monday, March 3, 2014
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 02-03-2014
Ilikuwa juamapili ya baraka na yenye nguvu na Muujiza kwa maelfu ya waumini wa Ngurumo ya Upako walio kusanyika katika Hema la kukutania Kisongo Arusha .
Tuesday, February 25, 2014
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23-02-2014
Thursday, February 20, 2014
Rais wa Ukraine akubali kufikia makubaliano na upinzani
Rais wa Ukraine Viktor Yanukovich ametangaza makubaliano na viongozi wa upinzani na kuanza majadiliano kumaliza umwagikaji wa damu.
Monday, February 17, 2014
(HABARI). Ndege ya Ethiopia iliotekwa yatua mjini Geneva
Subscribe to:
Posts (Atom)






