Maelfu ya watu wamekusanyika katika Chuo Kikuu Cha Manabii
kwenye ibada ya jiji iliyofanyika Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha na
Monday, April 13, 2015
Monday, March 30, 2015
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 29/MARCH/2015
Maelfu ya watu waliokusanyika katika chuo
kikuu cha Manabii Kisongo katika ibada ya jiji wamepokea Baraka mbalimbali za kinabii
na kufunguliwa katika vifungo mbalimbali.
Thursday, March 26, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 26/MARCH/2015
Nabii Mkuu
Mheshimiwa Dr.Geordavie ametangaza siku 14 za kufanyika kwa mambo makubwa
maishani kwawalewote
wanaomuamini nabii kuanza mwao
Nabii Mkuu
Mheshimiwa Dr.Geordavie ametangaza siku 14 za kufanyika kwa mambo makubwa
maishani kwawalewote
wanaomuamini nabii kuanza mwao
Wednesday, March 25, 2015
WATU WAWILI MBARONI KWA KOSA LA KUKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO
Ikiwa ni siku chache tangu Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie kupiga marufuku vitendo vya mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) hatimae watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya
Monday, March 23, 2015
Friday, March 13, 2015
AJALI MBAYA YA BASI LA ABIRIA NA LORI LA MIZIGO JIJI ARUSHA
Tukiendelea kukumbuka tamko la Unabii kutoka kwa Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie kuhusu majanga mbalimbali nchini,takribani watu watano wamejeruhiwa ,
Friday, March 6, 2015
MWAKA 2015 WAANZA KUNG’ATA WAGANGA WA KIENYEJI KAGERA.
Ikiwa ni baada ya tamko la Kinabii
juu ya mwaka 2015 kuwa ni mwaka wenye meno na unang’ata kwa waganga wa
kienyeji,washirikina na wachawi.Hatimaye
Thursday, March 5, 2015
IDADI YA WALIO KUFA NA MAFURIKO SHINYANGA YAONGEZEKA NA KUFIKIA 42.
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa na
mafuriko wilayani Kahama, mkoani Shinyanga sasa imefikia 42. Watu wengine 98
wamejeruhiwa, nyumba 160 zimebomolewa na jumla ya watu 570 wameathirika na
mafuriko hayo. Kwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga, amesema
Wednesday, February 25, 2015
Majeshi ya DRC yashambulia ngome ya FDLR.
Vikosi
vya Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo FARDC, vimeanzisha hatua za
kijeshi dhidi ya waasi wa Rwanda wa kundi la FDLR.Katika vijiji vya Ruvuye na
Mulindi katika misitu ya maeneo ya mji wa Lemera tarafani Uvira mkoani Kivu ya
kusini.
Baadhi wa wajumbe wa kundi hilo wanashutumiwa
kushiriki katika mauaji ya kimbari ya Rwanda kabla ya kutoroka katika nchi
jirani ya Jammuhuri ya kidemokrasi ya CongoFriday, February 20, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI,TAREHE 19/February/2015
Maelfu
ya watu waliohudhuria katika chuo cha uponyaji
leo katika hema la kukutania kisongo nje kidogo ya Jiji La Arusha wametoa sadaka ya kujiepusha na majanga, ambapo
hivi karibuni Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr.GeorDavie alitoa unabii utakaodumu hadi mwezi
wa sita kuwa kutatokea majanga mbalimbali nchini.
Monday, February 16, 2015
IBADA YA JUMAPILI.TAREHE 15/February/2015
Baraka mbalimbali za
kinabii zimeendelea kumiminika kwa Maelfu ya watu walioudhuria ibada ya Jiji
Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Katika ibada hiyo Nabii
Mkuu Mheshimiwa Dr GeorDavie ametangaza
Baraka mpya ya
Thursday, February 12, 2015
IBADA YA CHUO CHA UPONYAJI TAREHE 12/February/2015.
Nabii Mkuu Mh.Dr.GeorDavie ametoa Unabii wa Muda wa miezi mitano kuanzia Februari hadi June mwaka huu kuwa kuna mambo yatakayotokea ambayo yatakuwa ya kushangaza. Mh.Dr.GeorDavie ametoa Unabii huo leo wakati wa ibada ya Chuo cha Uponyaji iliyofanyika katika hema la Kukutania la Ngurumo ya Upako Chuo Kikuu cha Manabii Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Subscribe to:
Posts (Atom)







