Wednesday, June 13, 2018
Tuesday, June 12, 2018
Anthony Joshua: Deontay Wilder amekubali pigano la kuunganisha mikanda Uingereza
Bingwa wa uzani mzito duniani Deontay Wilder anadai kwamba amekubali kuzipiga dhidi ya Anthony Joshua nchini Uingereza
ACT – Wazalendo kuibua mjadala mkuu wa Kitaifa uchambuzi wa bajeti (+video)
Updates: Trump aridhika na mazungumzo pamoja na Kim, Wasaini Makubaliano Maalumu
Rais
Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamemaliza
mazungumzo ya kwanza ya kihistoria kwa kutia saini taarifa juu ya ahadi
za kuangamiza silaha za nuklia za Korea Kaskaizni.
Monday, June 11, 2018
Mwalimu anayedaiwa kudhalilisha wasichana St. Florence mbaroni
Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia mwalimu wa Shule
ya Msingi St Florence iliyopo Mikocheni, anayedaiwa kudhalilisha
kijinsia wanafunzi wanne wa kike wa darasa la saba.
Saturday, June 9, 2018
KARIA AWAPA YANGA SAA 48 KUTENGUA KAULI YA KUJITOA KOMBE LA KAGAME, VINGINEVYO…
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameutaka uongozi wa klabu ya Yanga kutoa jibu linaloeleweka hadi kufika Jumapili juu ya kujitoa kwao kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
Kauli hiyo ya Karia leo, inafuatia Yanga kuiandikia barua TFF kuwaarifu kutoshiriki michuano hiyo kutokana na kubanwa na ratiba ya mashindano mengine.
Waziri Mkuu Ataka Wanaotoa Taarifa Za Uongo Wadhibitiwe
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa
kushirikiana na Jeshi la Polisi wawachukulie hatua kali wananchi wote
wanaotumia vibaya namba za mawasiliano za jeshi hilo kwa kutoa taarifa
za uongo kuhusu matukio ya majanga ya moto.
Friday, June 8, 2018
Mfumuko Wa Bei Nchini Waendelea Kupungua Toka Asilimia 3.8 Hadi Asilimia 3.6
Na. Eliphace Marwa – Maelezo
Ofisi
ya Taifa ya Takwimu (NBS) leo imetoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa
mwezi Mei mwaka huu ambao umepungua hadi kufikia asilimia 3.6
ikilinganishwa na asilimia 3.8 ilivyokuwa kwa mwezi Aprili mwaka huu.
Waziri wa Elimu: Serikali Haitavumilia Walimu Wanaoshiriki Vitendo Vya Udhalilishaji Kwa Wanafunzi
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako Ndalichako
ameweka wazi kwamba serikali haiwezi kuvumilia vitendo vya
udhalilishaji ambavyo vimeonekana kufanywa na mwalimu wa shule St.
Florence iliyopo jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Afungua Mkutano Wa Mawaziri Wa Madini Na Kuzindua Maabara Ya Kisasa Ya Madini........Inauwezo wa kutambua aina za madini na yalikotoka
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amezindua maabara ya kisasa ya na ya kwanza barani
Afrika yenye uwezo wa kupima na kutambua aina mbalimbali za madini.
Mkuu Wa Majeshi Ahamasisha Vijana Kujiunga Jkt Kupata Stadi Za Kazi Ziwasaidie Kujiajiri
Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana
kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za ufundi na
hatimaye wajiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa na Serikali.
Thursday, June 7, 2018
Waziri Mkuu: Kutangaza Nyongeza Ya Mishahara Hadharani Kuna Madhara
Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi kuwa suala la kutangaza
nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma hadharani husababisha
athari kwa jamii nzima na kwa wale ambao siyo watumishi.
Waziri Mkuu Asisitiza Kuzichukulia Hatua Asasi Za Kiraia
Mbunge
wa Longido (CCM) Dkt. Steven Kiruswa ameitaka Serikali kuyafutia
usajili Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) ambayo huongeza uchochezi
nchini kwa kujishughulisha katika masuala ya siasa na hivyo kuhatarisha
amani ya watanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)