Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (katikati), akiongoza Kikao cha
Utendaji cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es
salaam, kujadili utendaji wa kazi za Polisi, kufanya tathmini,
Mafanikio, Changamoto na kuweka mikakati ya kutekeleza kazi za Polisi
hususan kulinda maisha ya raia na mali zao.
Kushoto
kwake ni Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii CP Mussa A.
Mussa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas na kulia
kwake ni Kamishna wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP Shabani Hiki
na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu CP Benedict Wakulyamba.
Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi wakifuatilia hotuba inayotolewa na Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCP Charles Kenyela (aliyesimama), Wakati wa Kikao cha Utendaji cha Maofisa Wakuu kilichofanyika jijini Dar es salaam na kujadili utendaji wa kazi za Polisi, kufanya tathmini, Mafanikio, Changamoto na kuweka mikakati ya kutekeleza kazi za Polisi hususan kulinda maisha ya raia na mali zao ili kuhakikisha jamii inakuwa salama.

by rich voice
No comments:
Post a Comment