Mshambuliaji
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak kuwafungia Los
Blancos bao la pili dakika ya 64
baada ya kufunga la kwanza dakika ya nne katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Turin. Bao la tatu la Real Madrid lilifungwa Marcelo kwa pasi ya Ronaldo, huku Juventus ikimpoteza mchezaji wake, Paulo Dybala aliyetolewa nje kwa kadio nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 66 kufuatia kumuinulia mguu kichwani Dani Carvajal

No comments:
Post a Comment