Ligi kuu ya soka ya England
inaendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaa,kesho jumamosi michezo
saba inatarajiwa kuchezwa ambapo Liverpool wanacheza na Stoke
city,Burnley dhidi ya Brighton,Crystal Palace ni mwenyeji wa Leceister
City.
Friday, April 27, 2018
Kiongozi wa Korea Kaskazini avuka mpaka na kuingia Korea Kusini
Kim Jong-un amekuwa kiongozi wa
kwanza wa Korea Kaskazini kuingia Korea Kusini kwa kuvuka mstari wa
kijeshi uliowekwa kugawanya mataifa hayo mawili tangu vita vya Korea
1953.
Katika hatua ilioshangiliwa kwa mbwembwe za kila aina
kiongozi wa Korea Kusini na mwenzake wa Korea Kaskazini walisalimiana
kwa mikono katika mpaka huo.Thursday, April 26, 2018
Watu 9 wakamatwa wakiandamana Posta, Dar es Salaam
Mambosasa afunguka sakata la Katibu wa BAWACHA Aliyekamatwa na mtoto mchanga
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Jijini Dar es salaam, Lazaro Mambosasa, ametolea
ufafanuzi suala ambalo limeanza kushika hatamu mitandaoni la kukamatwa
kwa Katibu wa Baraza la Wanawake CHADEMA kata ya Kisutu Elizabeth
Mambosho na kupelekwa rumande akiwa na mtoto mchanga.
Wednesday, April 25, 2018
Marekani Nayo Yawaonya Raia Wake Kuhusu Maandamano Nchini
Ubalozi
wa Marekani nchini umetoa tahadhari kwa wananchi wao wanaoishi Tanzania
kuhusu maandamano ya kisiasa yanayotarajiwa kufanyika Aprili 26.
Tuesday, April 24, 2018
Watu 10 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo Canada
Watu tisa wameuawa mjini Toronto,
nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika
mtaa wenye watu wengi. Wengine 16 wamejeruhiwa pia.
Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali wa kilomita moja hivi.Rais Magufuli Ampongeza Mizengo Pinda.....Ataka Viongozi Wengine Wastaafu Waige Mfano Wake
Rais
John Magufuli jana alimmwagia sifa Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda
kwa kumwelezea ni kiongozi mkimya na asiyependa kuzungumza ovyo ovyo.
Treni ya Kisasa Kuanza Novemba Mwakani
Serikali
imesema treni inayotumia umeme inatarajiwa kuanza kutoa huduma Novemba
mwakani kwa usafiri wa reli ya kati, kipande cha Dar es Salaam -
Morogoro.
Tuesday, April 10, 2018
Mkuu wa zamani wa majeshi aunda vugu vugu jipya la waasi.
Aliyekuwa Mkuu Majeshi Sudan Kusini ameunda vugu vugu jipya la kundi la waasi.
Paul
Malong ambaye alitimuliwa katika wadhifa wake na Rais Salva Kiir mwaka,
amechukua hatua hiyo wakati nchi yake ikianzaMamia Ya Wanawake Waliotelekezwa Na Waume Zao Wafurika Kwa Makonda........Majina ya wanaume waliotelekeza watoto kuanikwa hadharani
Mkuu
wa mkoa wa Dar es salam Paul Makonda jana April 9 amezungumza na akina
mama waliotelekezwa na waume zao jijini Dar es Salaam ambapo mamia ya
wanawake hao wamejitokeza wakiwa na watoto zao.
Mvua Dar es salaam : Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi zasombwa na maji
Nyumba
12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi,Mtaa Majengo Eneo la Vingunguti
jijini Dsm zimesombwa na Maji na huku nyingine zaidi ya 100 ziko
hatarini kuanguka kutokana na Mmomonyoko wa Udongo unatokana na kupanuka
kwa Mto Msimbazi na kuingia katika makazi ya watu.
Monday, April 9, 2018
Chelsea 'wanaelekea kucheza Europa League' baada ya sare na West Ham
Kushinda kombe la FA hakutatosha "kunusuru" msimu wa klabu ya Chelsea, kwa mujibu wa beki wa klabu hiyo Cesar Azpilicueta.
Mzozo Syria: Israel yashutumiwa kutekeleza shambulio dhidi ya uwanja wa ndege
Serikali ya Syria na mshirika wake Urusi zimeishutumu Israel kwa shambulio baya katika uwanja wa ndege za kijeshi za Syria.
Serikali Yakiri Magereza Kuzidiwa na Idadii ya Wafungwa
Tanzania
inakadiriwa kuwa na wafungwa 40,000 wakati uwezo wa magereza yake ni
30,000 hivyo kuna ongezeko la zaidi ya wafungwa 10,000 katika msongamano
huo.
Ajali City Boy: Mmiliki wa Fuso adakwa na Polisi, dereva anatafutwa
CCM Mwanza yatangaza maandamano Aprili 26
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, wanakusudia kufanya
maandamano ya amani Aprili 26, mwaka huu, kuunga mkono na kupongeza kazi
kubwa inayofanywa na Rais Dkt John Pombe Magufuli
OmbaOmba Kutupwa Gerezani
Mamlaka katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali imetangaza kuanza msako mkali na kuwaweka gerezani walemavu wote wanaojihusisha na vitendo vya kuomba omba barabarani, kwa madai kuwa ni chanzo cha uchafu wa jiji hilo.
Uwanja wa ndege za kivita wa Syria washambuliwa kwa makombora
Vyombo
vya habari nchini Syria zimeripoti vifo vya watu kadha katika uwanja
mmoja wa Ndege wa kijeshi nchini humo baada ya shambulio la kutumia
Makombora.
Godbless Lema Amshangaa RC Gambo Kumuita Rafiki
Mbunge
wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Godbless Lema hajasita kuweka wazi hisia zake baada ya kutambulishwa na
RC Gambo katika Ibada ya kusimikwa Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu
Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha.
Thursday, April 5, 2018
CHINA NA URUSI ZAUNGANA KUIKABILI MAREKANI.
UONGOZI wa Jeshi la China umeahidi kuisaidia na kuiunga mkono Urusi kijeshi kukabiliana na mataifa ya Magharibi dhidi ya mzozo wa kidiplomasia, vikwazo vya kiuchumi na mazoezi ya kijeshi.
Ahadi hiyo imetolewa Waziri wa Ulinzi wa China, Wei Feng ambaye yuko Urusi
BARCELONA YASHINDA MESSI AKISHINDWA KUONA NYAVU
Luis Suarez amefunga goli lake la
kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupita karibu mwaka
mmoja wakati Barcelona ikiifunga Roma magoli 4-0 katika mchezo wao wa
kwanza wa robo fainali.
LIVERPOOL YAIDUWAZA MANCHESTER CITY KATIKA DIMBA LA ANFIELD
Liverpool imejiweka vyema katika
Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupata matokeo mazuri kwa robo
fainali kwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Manchester City
yaliyopatikana ndani ya dakika 31 za kwanza katika dimba la Anfield.
Vipimo vya Nabii Tito vyatua mahakamani....Hakimu Kutoa Maamuzi April 13
Mahakama
ya Wilaya ya Dodoma leo Aprili 5, 2018 imepokea taarifa ya vipimo vya
kitabibu vya Tito Machibya (Nabii Tito) ili kujua kama ana matatizo ya
akili au la.
BREAKING: Majambazi Yavamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia Mbezi na Kupora Sadaka
Majambazi
wamevamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto
Yesu-Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam na kupora fedha na baadhi ya
vifaa vya kuendeshea misa usiku wa kuamkia leo.
Updates: Waliofariki Ajali ya Basi la City Boy ni Watu 12
Watu
12 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajari ya basi
la kampuni ya City bus lililogana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha
makomelo wilayani Nzega mkoani TABORA.
Wednesday, April 4, 2018
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.04.2018
Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa
Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu
lakini kama itashindikana mazungumzo na meneja wa zamani wa Barcelona
Luis Enrique. (Star)
KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA MEI 2018 WANAFUNZI 1003 KIDATO CHA SITA SIMIYU WAPIGA KAMBI YA KITAALUMA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na wanafunz wa Kidato cha Sita kutoka shule 11 za Mkoa huo wakati wa ufunguzi wa Kambi ya Kitaaluma kwa wanafunzi hao Aprili 03 wilayani Maswa.
Repoa yatoa tahadhari kuhusu uchumi wa nchi
Rais Magufuli Kuzindua Ukuta Katika Migodi ya Tanzanite
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Ijumaa hii Aprili 06, 2018 kwenye uzinduzi
wa ukuta kwenye migodi ya Mirerani mkoani Arusha.
Spika Ndugai amerejea kutoka kwenye matibabu
Spika
wa Bunge, Job Ndugai amerejea jana Aprili 3, 2018 akitokea nchini India
alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu miezi miwili.
Tuesday, April 3, 2018
Maulid Mtulia , Dk Godwin Mollel Waapishwa Bungenii Leo
Naibu Spika, Tulia Ackson, leo amewaapisha wabunge wawili, Dk Godwin Mollel wa Siha na Maulid Mtulia wa Kinondoni, leo Aprili 3.
Tanzania: Viongozi wa chama cha Upinzani Chadema watarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani leo
Viongozi sita wa Upinzani nchini Tanzania wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana leo.
Winnie Mandela: Maisha ya Mwanaharakati aliyepigania usawa Afrika Kusini
AFP
Winnie Madikizela Mandela aliitwa " Mama wa Taifa" kwa kazi ya yake dhidi ya ubaguzi
Subscribe to:
Posts (Atom)