Thursday, October 19, 2017

IBADA YA CHUO CHA MANABII SIKU YA ALHAMISI YA LEO TAREHE 19/10/2017 IBADA ILIYOONGOZWA NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE .

MCHUNGAJI KIONGOZI WA HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE

Watu wametakiwa kuyatumia maneno ya mungu ili yaweze kuwainua katika maeneo mbalimbali maishani.

hayo yamesemwa na mchungaji kiongozi wa huduma ya ngurumo ya upako Mama Anna Davie,ambapo amesema kuwa watu waache kulalamika  juuu ya maisha yao badala yake waitamkie maneno ya mungu kwajili ya kufanikiwa.
 aidha amesema kuwa siku zote jitabirie uzima maishani pamoja na mafanikio.
tazama baadhi ya picha hapo chini.
                                        watu wakiwa ndani ya ibada hiyo ya siku ya leo
                                               watu wakiabudu katika ibada ya siku ya leo
 
Kumbuka ibada ya chuo cha manabi ndani ya huduma ya ngurumo ya upako huwa ni kila siku ya jumanne na alhamisi na siku ya jumapili ya tarehe 22/10/2017 ni ibada ya jiji na mchungaji kiongozi atakuwepo kuongoza ibada hiyo.

No comments:

Post a Comment