Thursday, October 5, 2017

MCHUNGAJI KIONGOZI WA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE KUONGOZA IBADA YA CHUO CHA MANABII HII LEO.
















Mchungaji kiongozi  wa huduma ya Ngurumo ya upako Mama Anna Davie anatarajiwa kuongoza ibada chuo cha manabii itakayofanyika siku ya kesho kuanzia saa sita kamili mchana katika hema la kukutania kisongo Arusha.
Akizungumza na NYU Radio Kadinali wa tatu wa huduma ya ngurumo ya upako Mchungaji Ziman Gervas ni vyema kila mmoja kufika hemani mwa bwana ili kupokea nguvu ya mungu ambayo itawasaidia kutmbea nayo maishani.



















Mchungaji zimani ameongeza Upo ujumbe mzuri na wa baraka ambao umeandaliwa kwa ajili ya watu wote siku ya kesho kutoka kwa Mchungaji kiongozi ambapo amewataka watu wote kuchukua hatua kushiriki ibada ya hiyo .

No comments:

Post a Comment