Mahakama imeombwa kuingilia kati na kuamua -
iwapo uchaguzi wa marudio
Wednesday, October 25, 2017
Tuesday, October 24, 2017
Umoja wa Mataifa wataka wapinzani 30 kuachiwa huru DRC
Umoja wa mataifa umetoa wito ya
kuachiwa mara moja kwa watu 30, wa chama kikuu cha upinzani katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutoka korokoroni.
Ndoa za utotoni zakithiri Afrika Magharibi na Kati
Licha ya kuwepo kwa upungufu wa
kesi za ndoa za utotoni, nchi za Afrika Magharibi na Kati zimeshuhudia
ongezeko la ndoa za utotoni.
Maisha ya pacha waliozaliwa wameshikana hatarini Gaza.
Maisha ya watoto
pacha waliozaliwa wakiwa wameshikana yako hatarini iwapo hawataondolewa
ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa madaktari.
Alam Abu Hamna kutoka
hspitali ya Shifa, ilisema kuwa hali inayowakumba watoto hao wasichana
ni ngumu na kwamba haiwezi kutatuliwa na madaktari wa hospitali zilizo
ukanda wa Gaza.
KAULI YA PROFESA LUOGA BAADA YA KUTEULIWA KUWA GAWANA WA BOT
Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema
amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na
anatambua changamoto za nafasi hiyo.
Profesa
Luoga ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM) - Taaluma, amesema leo Jumatatu Oktoba 23,2017 kuwa
Monday, October 23, 2017
JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA MAGARI 18 YA KISASA YALIYOKUWA MABOVU.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda jana Oktoba 22
amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani
Kilimanjaro yakiwa Mabovu (Mkweche) kwaajili ya kufufuliwa upya.
Magari hayo yalipelekwa Kilimanjaro yakiwa yamebebwa kutokana na ubovu lakini sasa yanarejea Dar es Salaam
Rais Magufuli Ataka Wanaopika Data za Uongo Wahughulikiwe
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kuvitaka vyombo vya dola nchini viwashungulikiwe watu ambao wamekuwa wakipika data za uongo za serikali na kuzichapisha sehemu mbalimbali na kusema watu hao wanapaswa kufikishwa mahakamani.
Sunday, October 22, 2017
KIGWANGALA AFUTA VIBALI VYOTE VITALU VYA UWINDAJI.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amefuta vibali vyote vya
uwindaji kwa kampuni kuanzia Oktoba 22,2017 na kutoa siku 60 kwa
watendaji ili waratibu mchakato upya utakaowezesha vitalu kugawiwa kwa
mnada.
Dk
Kigwangalla pia amemwagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, ndani ya muda
Friday, October 20, 2017
Ni Ushindi MKUBWA Kwa Taifa Letu........Hiii Hapa Hotuba Ya Rais Magufuli Baada Ya Kukamilika Majadiliano Kati Ya Tanzania Na Barrick
Majadiliano kati ya Tanzania na timu ya wawakilishi wa kampuni ya Barrick Gold inayomiliki migodi ya madini hapa nchini yamekamilika na makubaliano kati ya pande hizo yametiwa saini jana tarehe 19 Oktoba, 2017 mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Thursday, October 19, 2017
IBADA YA CHUO CHA MANABII SIKU YA ALHAMISI YA LEO TAREHE 19/10/2017 IBADA ILIYOONGOZWA NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE .
MCHUNGAJI KIONGOZI WA HUDUMA YA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE
Watu wametakiwa kuyatumia maneno ya mungu ili yaweze kuwainua katika maeneo mbalimbali maishani.
RAIS MAGUFULI AMTUMIA UJUMBE MFALME WA OMAN.
Rais
John Magufuli leo Oktoba 18, 2017 amemtumia ujumbe Mfalme wa Oman
Mtukufu Sayyid Qaboos bin Said Al Said na wawekezaji wengine wa Oman
kuwa atafurahi kuona wanakuja kuwezeka nchini tena kwa haraka na kudai
serikali itatoa ushirikiano.
Rais
ametuma ujumbe huo kwa mfalme wa Oman kupitia kwa Waziri wa Mafuta na
Gesi wa Oman Mhe. Dkt. Mohammed Hamad Al Rumhy
Tuesday, October 17, 2017
Mahakama Kuu Kenya yaondoa zuio la maandamano
Mahakama Kuu nchini Kenya imeondoa kwa muda zuio la maandamano ya muungano wa vyama vya upinzani nchini humo (NASA) katika miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu lililowekwa na Serikali.
Akari Aliyekuwa Akifanya Mapenzi na Mfungwa Ajinyonga
Askari mmoja wa Chuo cha Mafunzo ya Wafungwa cha Losperfontein, nchini Afrika Kusini amejinyonga hadi kufa mara baada ya kuzagaa kwa picha zilizomwonyesha akimpiga busu mfungwa kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii .
Monday, October 16, 2017
VIONGOZI NRM WAKATAA KUFUTWA UKOMO WA RAIS
Viongozi
wa chama tawala cha National Resistance Movement (NRM) mjini Buzaaya,
Wilaya ya Kamuli mwishoni mwa wiki walipiga kura kupinga kufutwa ukomo
wa umri wa rais kwenye Katiba.
WAZIRI KUPELEKA BUNGENI MAOMBI UMRI WA KUSTAAFU MAPROFESA UONGEZWE.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema ana
mpango wa kupeleka bungeni maombi ya kuongezwa muda wa kustaafu maprofesa.
Amesema umri wa kustaafu kwa sheria
unawafanya wasomi hao washindwe kutumika vizuri kulijenga Taifa, hivyo ataomba
wastaafu wakiwa na umri wa miaka 65 badala ya 55.
Mkuchika amesema hayo leo Jumatatu
Oktoba 16, alipotembelea ofisi za
WAZIRI MKUU AWAONYA MAWAZIRI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
amewaonya mawaziri na kuwataka watumie madaraka yao kwa manufaa ya Taifa na
kamwe wasiyatumie kama fursa ya kujitajirisha wao binafsi.
Kassim Majaliwa amesema hayo leo
Oktoba 16, 2017 alipozungumza na baadhi ya Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Aidha Waziri Mkuu amesema Mheshimiwa
Rais Dkt. John Magufuli amesisitiza
Wednesday, October 11, 2017
JAMBAZI ATANDIKWA RISASI NA WENZAKE MBELE YA POLISI
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye
polisi wanadai ni mtuhumiwa wa uporaji na mauaji, ameuawa kwa kupigwa risasi na
watu wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wenzake.
Kabla ya kuuawa katika majibizano ya risasi, mtuhumiwa
huyo anadaiwa alikamatwa akiwa na SMG yenye risasi 24, simu 19 zilizoporwa
maeneo mbalimbali na laini za simu 58.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne na Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Kilimanjaro,
18 WATIWA MBARONI KWA MAUAJI
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara,
linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za mauaji baada ya kumshambulia kisha
kumchoma mishale yenye sumu mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwara Bw. Magige
Mesenda na kusababisha kifo chake.
Tuesday, October 10, 2017
IPO SIRI KUBWA NDANI YA UPAKO ANAOTUMIKA NAO MTU:NABII MKUU MH DK. GEORDAVIE.
LOS ANGLES, MAREKANI
Nabii mkuu Mh Dk. GeorDavie
Amewataka watu kutambua kwamba ipo siri kubwa ndani ya upako anaotumika nao
mtu, huku akieleza kuwa siri hiyo ni kati ya mwenye upako na Mungu pekee.
Nabii mkuu ameyase hayo wakati
akifundisha katika ibada ya Jumapili katika
Thursday, October 5, 2017
IGP SIRRO AUNDA KAMATI YA KUCHUNGUZA MIILI ILIYOOKOTWA BAHAHIRI
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wameunda
timu ya wataalamu kuchunguza miili iliyookotwa na sampuli kutoka miili hiyo
zimechukuliwa.
Amesema iwapo kuna watu ambao ndugu zao wamepotea ni vyema
wakafika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa
ajili ya vipimo na kufanyika upelelezi.
MCHUNGAJI KIONGOZI WA NGURUMO YA UPAKO MAMA ANNA DAVIE KUONGOZA IBADA YA CHUO CHA MANABII HII LEO.
Wednesday, October 4, 2017
NABII MKUU DK. GEORDAVIE KUHUDUMIA MAREKANI JIMAPILI YA TAR 8 MWEZI HUU.
LOS ANGELES, MAREKANI
Nabii mkuu mh Dr GeorDavie jumapili hii anatarajiwa kuongoza
ibada ya kinabii Nchini marekani katika tawi la Ngurumo ya Upako Los Angeles.
Akitoa taarifa kuhusu ibada hiyo msimamizi wa tawi hilo Mtume Katherin,
Tuesday, October 3, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)