Taarifa
iliyotolewa na mahakama ya kijeshi nchini Iran inasema adhabu ya
kunyongwa hadi kufa aliyopewa jasusi wa CIA na Marekani,Jalal Haji Zevar
imetekelezwa katika gereza la Recai Shar lililopo kerec kaskazini
magharibi mwa Tehran.
Taarifa
hio inasema kwamba Zevar aliachishwa kazi mwaka 2010 na kufunguliwa
mashitaka ya ujasusi, kutokana na uthibitisho uliotolewa pamoja na
kukiri kwake makosa alihukumiwa adhabu ya kifo.
No comments:
Post a Comment