Hayo
yamesemwa leo Mei 2, 2018 Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa
Tamisemi, Joseph Kakunda wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa
Ludewa (CCM), Deogratius Ngalawa.
Katika
swali lake, Ngalawa alitaka kupata majibu ya Serikali kuhusu upungufu
wa walimu 500 wa shule za msingi na jinsi litavyoshughulikiwa.
Akijibu
swali hilo, Kakunda amesema; "Tunaendelea na mchakato kwa kushirikiana
na Baraza la Mitihani la Taifa kwa kupitia vyeti vya vya walimu na
tunategemea ifikapo Juni 30 kuwaajiri."
by richard shiyo/rich voice
No comments:
Post a Comment