Akisimulia
tukio hilo, mtoto wa marehemu amesema baada ya kwenda kumsalimia baba
yake (marehemu) alimkuta ameshafariki huku akitokwa na povu mdomoni na
puani.
Marehemu aliacha ujumbe wa barua wenye maneno yasemayo kuwa “…Kwa kuwa nimekuwa kero kwa familia yangu nimeamua kujiua…”
Aidha,
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amethibitisha
kutokea kwa kifo hicho japo hakueleza ni aina gani ya sumu ambayo
marehemu alitumia kujiua. Jeshi hilo linaendelea na upelelezi wa tukio
hilo kabla ya kutoa taarifa kamili kwa umma.
by richard shiyo/rich voice
No comments:
Post a Comment