Mhe. Nabii Mkuu Prof. GeorDavie amewataka watu kutambua kwamba kufanikiwa hakuji tu na wala mafanikio hayajawekwa kwa ajili ya watu fulani.
Ameyaema hayo
mwishoni mwa wiki {Julai 25, 2026} wakati akifundisha katika mkutano wa akili ya fedha
uliofanyika katika ukumbi wa PAPU Tower uliopo Philips jijini Arusha.
Akifundisha
Prof. GeorDavie amesema mafanikio hayajawekwa kwa ajili ya watu Fulani ni
mtazamo jambo ambalo amesema ni tatizo linawasumbua watu wengi kutokana na
Fikra za mambo yaliyopita.
Habari Na Beatrice Maina
%20Instagram.png)
No comments:
Post a Comment