Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi
ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba
kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa pikipiki kwa lengo
la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili pamoja na
kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo, alipotembelea ofisi za Wizara
hiyo mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka Oman
mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia
mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa pikipiki kwa lengo la
kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili pamoja na kutangaza
utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea ofisi za Wizara hiyo mjini
Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki
na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi Mangazeni.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki akiteta jambo na Maher Al Barwani
kutoka Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi
saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa pikipiki kwa
lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili pamoja na
kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea ofisi za Wizara
hiyo mjini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,
Japhet Hasunga.
Picha ya pamoja ya Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Maher Al
Barwani, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi Mangazeni.
Maher al Barwani
akimuelezea Ndugu David ambeye ni Afisa Usafirishaji wa Wizara ya
Maliasili na Utalii jinsi alivyoweza kutumia usafiri huo wa pikipiki
kutoka nchini Oman hadi Tanzania.
Maher al Barwani anapatikana kupitia Mawasiliano hayo.
Kwa muda wa miezi
saba Maher al Barwani ameweza kusafiri umbali wa kilomita 18,035.6
kutoka Oman hadi ofisi za Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii
mjini Dodoma.
Pikipiki anayotumia aina ya BMW ina uwezo wa kukimbia kwa spidi 240.
Maher al Barwani akiondoka baada ya kusalimiana na viongozi wa viwaza mjini Dodoma.
(PICHA NA HAMZA TEMBA-WMU-DODOMA)
No comments:
Post a Comment