Monday, March 26, 2018

CHISORA NAYE ASHINDA KWA KO RAUNDI YA PILI DHIDI YA MFARANSA


Bondia Dereck Chisora akimpiga Mfaransa, Zakaria Azzouzi katika pambano loa utangulizi kabla ya pambano la Dillian
Whyte na Lucas Browne usiku wa jana ukumbi wa 02 Arenam London. Chisora alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili kabla ya kwenda kutaka kuziopiga kavu kavu na mpinzani wake wa muda mrefu, David Haye

No comments:

Post a Comment