Thursday, March 22, 2018

LEO NI IBADA MAALUMU YA KUOMBE FAMILIA NDANI YA NGURUMO YA UPAKO[ADVANCED ANNOINTING]



Image result for gaudencia luila



 PICHANI JUU NI KADINALI WA KWANZA WA NGURUMO YA UPAKO MTUME                    
                                          GAUDENCIA LUILA

Leo alhamisi ya tarehe 22/03/2018 katika chuo kikuu cha  manabii ngurumo ya upako kutakuwa na ibada ya chuo cha manabii ambayo  ni maalumu kwaajili ya familia.

kadinali wa kwanza wa huduma ya ngurumo ya upako mtume Gaudensia  Luila amewakaribisha watu wote katika ibada hiyo maalumu huku akisema kuwa lengo ni kuhakikisha familia zote zinaishi kwa amani ,na upendo kwa kumtumikia mungu kwa furaha.

Related image
                                          PICHANI JUU NI NABII WILLIAM  JAMES
Pia aliongeza kuwa Nabii William James wa tawi la ngurumo ya upako Daresalaam la DAR CITY CENTRE atakuwepo pia,
Na ibada hiyo inatarajiwa kuanza kuanzia saa  sita kamili za mchana.

 HABARI NA RICHARD SHIYO[THE RICH VOICE]

No comments:

Post a Comment